Tujadili mechi ya Simba Vs Yanga leo

Mimi inanisikitisha sana kuona baadhi ya watu wakipata nafasi za kazi serikalini tena hadi kufikia ngazi ya uwaziri wakati vyeti vyao ni vya kuchonga? hawa mawaziri wawili wenye vyeti feki ni baadhi tu, naamini kabisa kama mamlaka zinazohusika zikiamua kuchunguza ajira za watu serikalini na ktk mashirika nyeti, amini usiamini Ofisi nyingi zitabaki nyeupe, wapo wengi tu wanaofanya kazi tena kwa mishahara minono huku wakitumia vyeti bandia au vya babu zao waliofariki, sasa kama mtu unaajiriwa na cheti bandia hata kazi zako nazo zitakuwa ni bandia tu... tuwe makini jamani, Taifa haliwezi kuendelea kwa kuwa na vihiyo wanaotoa maamuzi kana kwamba wako usingizini au wamekunywa mnazi au ile pombe ya kufunga kamba suruali...., mimi naziomba mamlaka husika zianzishe utaratibu wa kukagua vyeti vya watumishi serikalini na kuhakiki kweli ni vyao? hatuwezi kuvumilia kuona watu wenye sifa wakisota mitaani. tena ikiwezekana hata wamiliki wa vyuo nao washirikishwe ktk zoezi kama hilo la kuhakiki uhalali wa vyeti .. nina mengi ya kusema naomba niishie hapa. Naipenda Tanzania, naipenda Afrika, na Mungu anatupenda
 
Mkuu umekosea kuweka maoni kwenye thread hii..Hapa ni Simba Vs Yanga.
 
Mechi ya leo ndio fainali, kuna uwezekano wa watu kula sikuu ya x-mas huku wakiwa na simanzi kubwa, record iliyowekwa na simba mpaka naandika huu ujumbe ya kutopoteza mechi toka mwaka huu uanze ni ishara tosha kabisa kwamba; Leo mnyama lazima atafune ndala na kushushia na uji wa yeboyebo,
...Hili nalo Neno!! Baelzee....
 
Yanga wameoneka kucheza mpira mzuri tena kwa kutumia wachezaji watanzania kuliko yule mfanya biashara kama Maximo alivyokuwa akitumia wageni zaidi lakini bado mpira walikuwa wakicheza yanga ulikuwa m'bovu lkn kwasasa yanga wanacheza mpira wa kueleweka hivyo inaonyesha kama wataa na huyo kocha kwa miaka 3 ijayo ninauhakika yanga wanaweza kupata sare zidi ya simba....
LEO KIPINGO KUTOKA KWA SIMBA KIPO PALE PALE...
FAINALI SIMBA VS SOFAPAKA
 
Nipo Mwanjelwa hapa nasubiri gemu lianze mida ya 10:30 nakazia supu kwanza.
hahahaaaa, si mchezo!
si tuko mjini hapa, jua kali hadi mifukoni, sijui kwa kinibu au chawote kama kutaendeka kesho!!
MERRY XMAS!!.
 
Naitabiria ushindi timu ya SIMBA..
sheikhyahya.jpg
 
WanaJF,
Ivi huo mpambano wa Simba vs Yanga linakuza vipaji vya wachezani wetu au vinadororesha vipaji vyao kabisaaa? Maana hizo timu mbili sioni mchango wao katika timu ya taifa kama kweli wao wanajifanaya wanajua soka au ni kelele za mashabiki kukuza mambo.Mpira ulikuwa those dayas of 80's na 90's wakati Ushirika moshi ipo hai na Tupwisa lindanada wana wa kawekamo Pamba ya mwanza, Coastal Union Tanga na kadhalika ila siku hizi naona soka ipo Dar tuuuuuu basi na ndio tatizo la timu ya Taifa linapo anzia kuchaguwana wenyewe simba na yanaga fitna na unafki mwingi.

I dont see any feature kwa TFF Leadershp, na timu zake zote inazo ziongoza ni zengwe fulu na watu kutaka kula pesa
 
Back
Top Bottom