Tujadili masuala ya msingi tuache kujadili watu na walichosema

Tata

JF-Expert Member
Dec 3, 2009
5,799
2,725
Ndugu so called "great thinkers"

Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya Jukwaa hili la siasa na nimegundua kuwa "threads" zinazozungumzia maneno wanayosema watu na matukio yanayotokea zinachangamkiwa sasa kwa watu wengi kujitokeza kuzijadili. Mara nyingi unakuta ni maneno tu yamewekwa bila hata uthibitisho.

Inapotokea "thread" inayojadili masuala ya kimsingi ya nchi au michakato ya kisiasa hupati watu wengi wakichangia na mara nyingine "threads" za aina hii huwekwa pembezoni kabisa.

Swali: Je inawezekana watu wengi humu ni "simple minded" wanaojifanya kuwa ni Great thinkers?
 
Walimu wangu wote mbona walisema mtu yeyote msomi lazima atoe reference ya kila anachosema kimetokea wapi? Huwezi kusema maneno yako mwenyewe halafu ukasema umefanya analysis. Lazima uchambue misimamo mbal mbali na sababu zake na kisha ulete majumuisho. that is scholarly work.
 
Unaweza ukawepo ukweli fulani kwa kile unachokisema lakini huwezi kuzungumzia mathalani siasa bila kuwa gusa moja kwa moja wanasiasa wenyewe.Hapo utakuwa umefanya kosa kubwa sana.Maendeleo ya Chadema kama chama cha siasa lazima uwaweke pamoja na viongozi wake ambao ndo hao binadamu tunaowazungumzia hapa
 
Ndugu so called "great thinkers"

Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya Jukwaa hili la siasa na nimegundua kuwa "threads" zinazozungumzia maneno wanayosema watu na matukio yanayotokea zinachangamkiwa sasa kwa watu wengi kujitokeza kuzijadili. Mara nyingi unakuta ni maneno tu yamewekwa bila hata uthibitisho. Inapotokea "thread" inayojadili masuala ya kimsingi ya nchi au michakato ya kisiasa hupati watu wengi wakichangia na mara nyingine "threads" za aina hii huwekwa pembezoni kabisa.

Swali: Je inawezekana watu wengi humu ni "simple minded" wanaojifanya kuwa ni Great thinkers?

Mkuu umenena, inapotokea topic kuhusu watu au events like fulani kafanya hivi kwa kweli tumekuwa wepesi sana kuchangia. Kinyume chake mvuto ni mdogo sana katika kuchangia mada za jumla zinazohitaji maoni na mawazo ya nini kifanyike ili tuvuke hapa tulipo. Unakuta tulio wengi tunapitia lakini wanaotoa maoni yako ni wachache mno ikilinganishwa na vile tunapochangia katika topic kama fulani kasimamishwa kazi, fulani amekatwa n.k
 
Ndugu so called "great thinkers"

Nimekuwa nikifuatilia mijadala ya Jukwaa hili la siasa na nimegundua kuwa "threads" zinazozungumzia maneno wanayosema watu na matukio yanayotokea zinachangamkiwa sasa kwa watu wengi kujitokeza kuzijadili. Mara nyingi unakuta ni maneno tu yamewekwa bila hata uthibitisho.

Inapotokea "thread" inayojadili masuala ya kimsingi ya nchi au michakato ya kisiasa hupati watu wengi wakichangia na mara nyingine "threads" za aina hii huwekwa pembezoni kabisa.

Swali: Je inawezekana watu wengi humu ni "simple minded" wanaojifanya kuwa ni Great thinkers?
Wewe unataka watu wangapi wachangie kila mjadala wa siasa na wachangie vipi,nadhani wewe ndio unashindwa
kuchangia ipasavyo hiyo mijadala
 
Back
Top Bottom