Tujadili maada hii hapa

maulid_salum

New Member
Jun 20, 2012
2
0
eti inakuwaje ukioa
mwanamke ambae alishakuwa
na mtoto na huyo mtoto
anakaa kwa baba yake
inakuwaje siku yule mtoto
akiumwa na akalazwa ikabidi
mama yake aende
akamuuguze. Na endapo
utaamua kumlea wewe
uliyemuoa mama yake
itakuwaje pale baba yake
atakuwa anatimba kwako kisa
anakuja kumuona mtoto?na
kumletea vijizawadi.na
matumizi ya mtoto.
 
Sioni tatizo, wewe na mzazi mwenzio uhusiano hauwezi kuvunjika kabisa. Lazima issues zinazomhusu mtoto zitakuwakutanisha, saa nyingine itawakutanisha kwa ugomvi, sometimes sympathying together or celebration achievement of your juniors.

So expect that regardless....
 
amchukue mtoto wake, akae naye! baba yake anaruhusiwa kuja kumuona mayb mara moja au mbili kwa mwezi! mama wa mtoto anatoa tamko na wanaandikishana! then siku ya kuja kumuona dada wa kazi au aunt ampeleke kwa dad wake, wakimalizana anamrudisha mtoto hm. akiugua ofkoz baba apewe taarifa coz he deserves kupata taarifa na kumhudumia mtoto, BUT STRICTLY NO BUSINESS BETWEEN MAMA MTOTO NA BABA MTOTO, WALA NO COMUNICATION BTN NDUGU WA HUYO JAMAA NA MAMA WA MTOTO, ITS QUIET COMPLICATED MWANZONI, BUT MKEO AKIWA NA MSIMAMO NI RAHISI MNO! KAMA NI ADA AKALIPE SHULE STRAIGHT WEWE AU MKEO MTAKUTA TU RECEIPT SHULENI KWA MTOTO! KAMA NI ZAWADI AKIMCHUKUA MTOTO AMPE HUKOHUKO AU AWAPE NDUGU ZAKO WA KARIBU! MY SISTA AMEPRACTICE HII NA MUMEWE N THEIR MARIAGE IS ONE OF THE STRONGEST IN OUR FAMILY!
 
ukipenda ua penda na boda lake...mtoto ni malaika jamani cha ki-mind kwani hao ni wazazi wake hata ufanyaje, bond hiyo huwezi vunja, na hata ungekuwa ni wewe, ungefanya hivyo hivyo....muhimu kuaminiana tu nakuhakikisha kuwa suala hilo haliharibu uhusiano wenu...
 
Kwangu mimi hapana aisee mtoto ndie awe anaenda kumsalimia mama/baba yake sio mzazi mwenzake aje kwangu hapana aisee tunakaribisha ushawishi ambao sio wa lazima.
 
cacico mpnz umeongea ukweli yan we una akili sana. ungepata bahat ya kusoma sana ungelimbebeaga mwl nyerere madaftarî. (jokes)
 
Last edited by a moderator:
lazima ukubali kuwa huyo baba wa mtoto bado ataendelea kuwa sehemu ya maisha ya huyo mwanamke uliyemuoa. pili mara nyingi ni vyema sana mtoto huyo akalelewa na mama na sio baba assuming mama akili zimekaa sawa. kuhusu huyo jamaa kuja kwako kumtembelea mtoto hiyo ni haki ya msingi ya mtoto na ya huyo jamaa....kama wewe waona moyo wako utashindwa accept hilo basi ni boroa usioe mwanamke aliyezaa tayari
 
best way ni wewe kum-adopt mtoto na kama babake hayuko tayari kwa hilo basi aishi na mwanaye.
 
Back
Top Bottom