Tujadili kuhusu NHC kuwawezesha Watanzania

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
NINGEPENDA KUWASILISHA HIJA IFUATAYO TUIJADILI.
kWANINI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LISIFIKIRIE HILI?
Kuna wananchi watanzania ambao wanaviwanja, lakini kutokana na sababu mbalimbali wameshindwa kupata Pesa ya Pamoja ya kuwezesha kufanya ujenzi.
Je Shirika la nyumba la Taifa haliwezi kufikiria kuwawezesha watu hawa kwa kuwajengea kwa mkopo ili wawe wanalipa Taratibu, au kuwakopesha pesa zitakazo wawezesha kufanya ujenzi ili wawewanalipa polepole, na kufanikisha kuwawezesha kupata maisha bora ambayo Selikali yetu imekuwa ikiota kuwapatia Watanzania kilasiku?
 
Back
Top Bottom