Tujadili Kiukweli (Wanaume tu)

Na nikishinda jikoni muda mchache naokuwa nyumbani mume wangu ataongea na nani. Au achukue kiti nae akae jikoni. Na joto la Dar. Nahitaji kukaa na mume wangu week end ntafanya kazi za chumbani tu, nyingine anafanya housegirl. Nisijechoka nikashindwa kumpagawisha kitandani. Of course nta superivise utendaji kazi wa housegirl na ili asiumie sana ninao wawili.
 
Walaaa msijidanganye wale wanamama wanaosema vyumba wanashughulikia wenyewe huwa vyumba vyao havitamanishi hata kukaa nini kulala kwani viko shaghalabaghala yaani usafi wa kweli hufanya j mosi na pili kati ya wk huwa wananyoosha shuka wanachapa lapa , hs girl apige kazi mama nampa malavidavi mupenzi kana anapenda mchapakazi hy mke mvivu hakumchunguza kabla?
 
Muonye mkeo mbele ya huyo HG na asiposikia tena na dini yako inaruhusu na unam''feeeel'' huyo HG,mfanye kamke ka pili coz huyo mkeo hataonyeka hata kwa wazee braza,lakini tu kama dini inaruhusu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2:
 
ushasema mkeo naye ni mfanyakazi, naye anachoka na kazi na ndio maana akawa na huyo back3 kwa ajili ya kumsaidia shughuli za home na mtoto pia, hayo yote anayofanya back3 ni ya kawaida sana kwa family ambazo wazazi wote ni wafanya kazi, cha msingi ni usisitize mkeo hukusu nguo za ndani na usafi wa chumbani afanye mwenyewe, kama kweli ni miskivu atakusikia na kukuelewa.

na siku ukirudi mapema jitahidi basi na wewe kumsaidia, ukienda bafuni fua kufuli lako, ukiwa wa mwisho kuamka tandika kitanda na mambo mengine kama hayo, maana mens kwenye kufua makofuli yao na kutandika vitanda wengi ni wazito sana
 
Mzee, huyo house girl ndiye mke wako. Ebu mpe haki yake ya kitandani ili aendelee kukunyenyekea zaidi. Achana na jike lisilojituma.
 
:msela::msela::msela: MKONO MMOJA WEKA JUU,,,,,KAMATA DADAA, PIGA HEHEHEHEHEH:msela::msela::msela:
 
Mkuu usiguse utajuta, mimi wife anafanya bank yupo bize hadi jumamosi, kazini anarudi saa 2 hadi 4, kifupi kazi zote akawa anafanya HG, mtoto mkarimu sijaona,kalikuja toka urangini bado kadogo miaka 14. tumekaanako miaka miwili.
Situation ilikua kama yako HG anafanya almost everthing, ukizingatia muda huo kalishanawiri kana miaka 16 uzalendo ukanishinda nikala mzigo tena kwa kukata utepe mwenyewe, baada ya hapo si nikanogewa asikwambie mtu nikawa nachanganyikiwa nikiona hata anafokewa na wife, ikaenda baadae nikaona wife kama anastukia mchezo nikaanza kuwa namtetea sana bila mimi kujijua, alikuja kuokoa jahazi mshkaji baada ya kuniambia nifanye juu chini huyo HG aondoke nitafute mwingine,
Thanx to God nilifanikiwa kumuondosha na ndoa nikainusuru ingawa hadi leo hajanitoka kichwani mtoto yule
 
pole bro.mkeo anapaswa kuacha uvivu wa kijiga. msaidie kufahamu anawajibu wa kutekeleza ili kutunza ndoa yake

Kwa kifupi huyo mke ni mvivu. Hata mimi nisingeweza kukaa na mke mvivu kiasi hicho. Hakuna haja ya kuwa na house girl kama mwanamke ni house wife na akatokea kuwa mvivu hivyo. Mpe likizo huyo house girl aende kwao for 30 days, halafu huyo mke atekeleze majukumu yake na awe active, otherwise huo uvivu wa kupindukia utamletea maradhi
 
huyu mama ni uvivu tu ndo unamsumbua. na wa dizaini hii wapo wengi kusema kweli.
jaribu kumwelewesha mambo anayotakiwa kukufanyia na sio hg.akishindwa aende kwao basi akapumzike vizuri halafu akijiona nguvu za kufanya hayo mambo zipo basi arejee mwenyewe.

na lingine ukute ni mjamzito kwa sasa hivi ila hajajitambua,maana mimba nyingine zinaleta na uzembe mwilini hajisikii kufanya lolote.

Uvivu nikama pepo ndugu yangu, mh labda kwa maombi.
 
Mimi mbona mume wangu hapendi nifanye kazi za ndani (though is my hobby) anasema hapendi nichoke niwahachie mahousegirl. Samahani lakini mimi si mwanaume.

Swala la kukatazwa na uvivu ni tofauti. Hiyo ni life style yenu na hili ni tatizo.
 
Habari wana JF

Mwenzenu nimeoa (mke mfanyakazi) miaka mitatu iliyopita na kujaaliwa ka baby boy mmoja tu.

Tatizo langu ni, mke wangu kamwachia majukumu yooote msichana wa kazi! Kwa mfano, usafi wa nguo zangu, maandalizi ya chakula na kazi zote za nyumbani.

Hilo mimi sijali lakini najiuliza kuhusu hili, ninaporudi nyumbani na kifurushi mkononi hata kama mke wangu amekaa tu hana kazi yoyote atamwita msichana wa kazi na kumuamuru anipokee. Anaponipokea anasema, shikamoo baba......, pole........., karibu............., tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu. Mke wangu desturi hiyo hanaa!!

Atakapoandaa chakula house girl huyu huyu ataninawisha mikono na kunikaribisha chakula kwa unyenyekevu mkubwa akisema `karibu chakula baba`. Wife wala habari hana, na siku akiandaa msosi wife atasema `Baba nanii....chakula tayari`.

Asubuhi chai napo ni vivyo hivyo, atapewa house girl viatu asafishe (kubrash) then atanirudishia na kunambia kwa utulivu, viatu tayari baba!!

Mbaya zaidi juzi nikamkuta chumbani kwetu kwenye bafu (master) anafulia huko huku wife akiwa amekaa barazani na wenzie wanapiga story. Nikamuuliza unafanya nini huku na kwa ruhusa ya nani, alinijibu kuwa mama kamwambia afulie nguo zetu kule (za mimi na wife) then afanye na usafi wa kule msalani na chumba kizima, pia nahisi alitakiwa afue hata nguo za ndani coz nilikuta zimelowekwa pale pale.

Kiukweli nilichukia sana na akili ilinituma nimchape kitu yule binti (ku-mdo) but ni busara tuu iliyoniepusha.

Nimejaribu kumrekebisha mara kadhaa ananisikia na kunielewa but anaonekana ni mvivu kutimiza wajibu wake. Wife ni msikivu sana but sielewi tatizo nini jamani.

Swali langu ni kwamba, wanaume wenzangu mnayarekebisha vipi mambo kama haya coz kikawaida hisia zinaweza kuhamia kwa binti kwa jinsi alivyoachwa kuwa karibu nami na hasa wife alivyojiweka mbali ili nisije zua balaa.

Asanteni sana

Kwa kuoana hamchukuani mke na mume, Bali mnauchukua ulimwengu wenu mzima. Kuanzia hapo mpaka maisha yenu yote mke/mume wako atakuwa mwenzio, mwandani wako, na rafiki yako mpenzi.

Mwanamume na mwanamke wanapofunga ndoa inawapasa wote watambue desturi, mwendo mwema na adabu katika maisha hayo ya mke na mume ili ndoa yao iwe katika mipaka ya sharia ya imani yao.

Mimi binafsi sikubaliano na mitazamo ya baadhi ya waafidhina, wenye kung'ang'ania kuwa ni lazima mke afanye kazi za nyumbani, kama vile kufua, kupika au kufanyakazi za usafi...! Hizo kazi zitakuwa ni wajibu wake tu, kama mtakubaliana wewe na yeye katika kuwajibika. Kama mume ni mfanyakazi aliye ajiriwa na mke ni mama wa nyumbani basi hapo mtakubaliana kuwa mke awe anafanyakazi za nyumbani kama hizo nilizo zitaja hapo juu na mume atakwenda kibaruani.

Kinyume chake kama mke na mume wote ni wafanyakazi na wana uwezo wa kuweka msaidizi wa kazi, basi mimi sioni kwanini mke afanyekazi za nyumbani na ofisini kwani naye ni binadamu kama alivyo mume, maana wote mnarudi nyumbani mkiwa mmechoka kwa kuwajibika uko makazini kwenu. Sikatahi kuwa mke kumtengea mume chakula na kumfulia nguo za ndani kunaongeza mapenzi, lakini hata mume pia ni wajibu wake kufanyakazi za ndani kama kufua, kupika na usafi wa nyumba. Hapa kidogo inabidi unielewe, mimi siamini wala si mtetezi wa ile dhana ya kijinga ya ukombozi wa mwanamke hapa nina maanisha ile dhana ya jinsia sawa? Naamini kuwa kila mmoja anawajibika kwa nafasi yake ndani ya nyumba, tena kwa makubaliano na uwezo mliokuwa nao wa kiutendaji. Kwani katika jamii nyingi haswa za Kiafrika bado mwanamke anatarajiwa kuwa, mama kwa maana ya kulea watoto, mke bora, kwa maana ya mfanyakazi mzuri wa nyumbani.

Katika maelewano ya watu wawili kukipatikana aina yoyote ya ushindani na mvutano, basi kunakuwa na matatizo ambayo yataleta mtetereko katika mahusiano hayo kwa jinsi ambayo jambo dogo tu linapofanyika kutapatikana na utesi ulio mkubwa sana. Wanaume wengi wanapenda sana wake zao wawayenyekee na kuwatii, sikatahi ilo maana sisi wanaume wengi tunapenda kuonyesha utawala ndani ya himaya zetu, lakini kumbuka kuwa wewe ukiwa ni mfalme ndani ya nyumba basi mkeo ni malkia naye ana haki ya kuzungumzishwa kwa njia ya kumnasihi na katika kufanikisha hilo tafuta wakati ambao ni munasibu na uzungumze naye kwa kumpa mawaidha mazuri na kwa upole.

Suhala la kutembea na mfanyakazi wa ndani kwa kuwa tu ndiye anaye kuhudumia kwa unyenyekevu na heshima icho si kisingizio cha wewe kuingia kwenye aibu ya zinaa na kumdhalilisha mkeo.

Je ingekuwa mnamiliki shamba, na mmemuweka shamba boy, ambaye anafanyakazi zote za shurba uko shambani, na ikaja kutokea kuwa mkeo amemtamani ili azini naye kwa kuwa tu shamba boy anaonekana shupavu na mwenye mwili uliojengeka kwa kazi za shamba. Wewe kama mume ukija sikia utachukuwa uwamuzi gani? Tusiwe na fikra za ngono kwa kufikiria kuwa ndio suluhisho za hasira zetu.

Basi nimalizie kwa kushauri jambo moja, ikiwa maisha yenu, yameelemea kwenye mila na desturi zenu za kikabila, na jitihada zako za kumfahamisha nini wewe unapenda kushindikana, basi itisha kikao baina yako wewe, mkeo na wazazi wake na wako ili kuzungumzia suala hilo ambalo wewe unahisi linaharibu utulivu wa nyumba yako. Mazungumzo yawe ya upole na ulaini na huenda akafahamu makosa na akajirekebisha. Msisitizo katika kufanikisha hilo ni kila mmoja awe muwazi katika kikao hicho.

Lakini ukumbuke kuwa mume na mke wanapaswa waishi katika mawimbi ya hisia kila mmoja ajaribu kumzidi mwingine kihisia za kumjali mwenza, hapa maisha ya ndoa yatakuwa ya furaha kwelikweli na ndoa hiyo, InshaAllah, itadumu na kama itavunjika basi ni kwa sababu za msingi za kibinadamu.

Ni jambo la kuzingatia mno kuwa ndoa ni mkataba lakini mkataba huu hauna uhai wa kujitegemea, uhai wa mkataba huu si wa cheti cha ndoa wala pete ya ndoa na si wa sherehe za harusi bali umo katika nyoyo za wale waliofunga ndoa, na wakaishi kwa mapenzi na kusaidia katika kila jambo linalowezekana kusaidiana...!

Nakutakia kila la kheri katika maisha ndoa yako wewe na mkeo, pia nasisitiza kuwa achana na mawazo ya kutaka kutembea na mfanyakazi wa ndani kwani heshima yako itakuja kupotea bure na kuhatarisha ndoa yako.
 
Nakushauri ukija na vitu vyako ingia navyo ndani usiruhusu housegirl akupokee. wewe ni mfanyakazi na mkeo ni mfanyakazi. Sasa na wewe usingoje housegirl afue mpaka nguo zenu za ndani. Loweka zako za mkeo fua, fanya usafi chumbani. Kwanini wangoja tu housegirl au mkeo afanye? si hata wewe waweza kufanya? do it.

Mkeo akiona hivyo anaweza kujifunza kutoka kwako. You get me? kama na wewe sio mvivu ni nini? DO IT sio kulalamika lalamika tu
 
Habari wana JF

Mwenzenu nimeoa (mke mfanyakazi) miaka mitatu iliyopita na kujaaliwa ka baby boy mmoja tu.

Tatizo langu ni, mke wangu kamwachia majukumu yooote msichana wa kazi! Kwa mfano, usafi wa nguo zangu, maandalizi ya chakula na kazi zote za nyumbani.

Hilo mimi sijali lakini najiuliza kuhusu hili, ninaporudi nyumbani na kifurushi mkononi hata kama mke wangu amekaa tu hana kazi yoyote atamwita msichana wa kazi na kumuamuru anipokee. Anaponipokea anasema, shikamoo baba......, pole........., karibu............., tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu. Mke wangu desturi hiyo hanaa!!

Atakapoandaa chakula house girl huyu huyu ataninawisha mikono na kunikaribisha chakula kwa unyenyekevu mkubwa akisema `karibu chakula baba`. Wife wala habari hana, na siku akiandaa msosi wife atasema `Baba nanii....chakula tayari`.

Asubuhi chai napo ni vivyo hivyo, atapewa house girl viatu asafishe (kubrash) then atanirudishia na kunambia kwa utulivu, viatu tayari baba!!

Mbaya zaidi juzi nikamkuta chumbani kwetu kwenye bafu (master) anafulia huko huku wife akiwa amekaa barazani na wenzie wanapiga story. Nikamuuliza unafanya nini huku na kwa ruhusa ya nani, alinijibu kuwa mama kamwambia afulie nguo zetu kule (za mimi na wife) then afanye na usafi wa kule msalani na chumba kizima, pia nahisi alitakiwa afue hata nguo za ndani coz nilikuta zimelowekwa pale pale.

Kiukweli nilichukia sana na akili ilinituma nimchape kitu yule binti (ku-mdo) but ni busara tuu iliyoniepusha.

Nimejaribu kumrekebisha mara kadhaa ananisikia na kunielewa but anaonekana ni mvivu kutimiza wajibu wake. Wife ni msikivu sana but sielewi tatizo nini jamani.

Swali langu ni kwamba, wanaume wenzangu mnayarekebisha vipi mambo kama haya coz kikawaida hisia zinaweza kuhamia kwa binti kwa jinsi alivyoachwa kuwa karibu nami na hasa wife alivyojiweka mbali ili nisije zua balaa.

Asanteni sana

Huku nilikoweka red - naomba nikuulize:

1) Una uhakika - hapo ni nyumbani kwako na mkeo - au umejiweka mgeni zaidi??? maana yake - ukiingia kwako lazima upokelewe kifurushi - si unaweza kuingia na kuweka tu jamani??? ina maana usipopokelewa utakirudisha ulikokitoa au......????

2) Unabrushiwa viatu ...... wewe ni mlemavu au una viungo vyote???? mwanaume active, aliye social............... mwenye nguvu.............aliye free katika familia yake .... anaweza kubrush viatu vyake - hata na kufuta vya mkewe na watoto wake pia - yes ndio mwanaume mwenye upendo anayejenga umoja kwenye familia yake

3. Unanawishwa mikono - ili ule chakula - mbona kama uko kwenye "nyama choma vile..........???? - au kuna sheria kuwa lazima Baba anawishwe mikono ndio ale?? suppose baba anawanawisha mikono familia yake??? unapunguza hadhi ya ubaba au??

4. Huduma/kazi anazofanya housegirl zinakupa hisia za kufanya naye mapenzi...... hisia za mapenzi yako zinakuja unapomwona mtu anafanya kazi nyingi.... au???

Ngoja nikushauri: Ulimpenda mke wako si kwa ajili ya huduma tu bali mapenzi muishi pamoja - msaidiane katika mambo yote - hivyo ondoa dhana ya kutaka utumikiwe tu bali jisikie raha kumtumikia mpenzi wako pia - Punguza mfumo dume na utajisikia huru sana - otherwise kila kitu utaona hujatendewa haki - huo ni ushauri wangu tu

Mimi - namnyoshea mke wangu nguo zake - ninaponyoosha zangu
napenda kuheshimu na kuona ana furaha - kama ana wenzake wamemtembelea apate muda wa kuongea nao bila kuangalia mambo madogo madogo kuwa .... hajanyanyuka na kunifuata anipokee. Napenda kuona housegirl anamsaidia kazi ili apate muda wa kupumzika na asichoke sana wakati wa "mechi" mimi na yeye
na najisikia raha kuwa free ndani ya nyumba yetu ............... hata kama kitu kimekaa vibaya .......naweka vizuri .............am part of my family and I dont act like a guest.

Ni kweli issue ya housegirl kufulia kwenye bafu la master bedroom - kama hupendi just talk to your sweet wife - nadhani atakuelewa. ONDOA WAZO LA KUFANYA NGONO NA HOUSEGIRL - KISA - ANAFANYA KAZI ALIZOAJIRIWA KUFANYA - HILO NI WAZO LA SHETANI - USIMPE SHETANI NAFASI KUTUMIA KIGEZO HICHO.

MPENDE MKE WAKO - NA USIMWONE KAMA MACHINE YA KUKUFANYIA KAZI - MWONE NI SEHEMU YA MWILI WAKO - UTAISHI MAISHA YA RAHA - ndio mawazo yangu hayo
 
Pamoja na ukweli kwamba wanawake kunakujisahau, ila wanaume jamani ukwareeeeee muache, yaani hata ukiweka mipaka na kufanya mambo yako kwa uzuri na kutimiza wajibu kama mke, mhhh bado jamaa ni kumkodolea beki 3 mpaka inaudhi yaani jamani sasa lipi jema

Wapo wanaume wana mahusiano na mahausigeli mpaka wamezaa nao na mke yupo safiii anajituma kwa sana na nidhamu juu. Hapo tusemeje. Hata wanume mna shida kweeelikweeli

Samahani kuwaingilia inaniuma sana!!!!!!!!!!!
 
Huku nilikoweka red - naomba nikuulize:

1) Una uhakika - hapo ni nyumbani kwako na mkeo - au umejiweka mgeni zaidi??? maana yake - ukiingia kwako lazima upokelewe kifurushi - si unaweza kuingia na kuweka tu jamani??? ina maana usipopokelewa utakirudisha ulikokitoa au......????

2) Unabrushiwa viatu ...... wewe ni mlemavu au una viungo vyote???? mwanaume active, aliye social............... mwenye nguvu.............aliye free katika familia yake .... anaweza kubrush viatu vyake - hata na kufuta vya mkewe na watoto wake pia - yes ndio mwanaume mwenye upendo anayejenga umoja kwenye familia yake

3. Unanawishwa mikono - ili ule chakula - mbona kama uko kwenye "nyama choma vile..........???? - au kuna sheria kuwa lazima Baba anawishwe mikono ndio ale?? suppose baba anawanawisha mikono familia yake??? unapunguza hadhi ya ubaba au??

4. Huduma/kazi anazofanya housegirl zinakupa hisia za kufanya naye mapenzi...... hisia za mapenzi yako zinakuja unapomwona mtu anafanya kazi nyingi.... au???

Ngoja nikushauri: Ulimpenda mke wako si kwa ajili ya huduma tu bali mapenzi muishi pamoja - msaidiane katika mambo yote - hivyo ondoa dhana ya kutaka utumikiwe tu bali jisikie raha kumtumikia mpenzi wako pia - Punguza mfumo dume na utajisikia huru sana - otherwise kila kitu utaona hujatendewa haki - huo ni ushauri wangu tu

Mimi - namnyoshea mke wangu nguo zake - ninaponyoosha zangu
napenda kuheshimu na kuona ana furaha - kama ana wenzake wamemtembelea apate muda wa kuongea nao bila kuangalia mambo madogo madogo kuwa .... hajanyanyuka na kunifuata anipokee. Napenda kuona housegirl anamsaidia kazi ili apate muda wa kupumzika na asichoke sana wakati wa "mechi" mimi na yeye
na najisikia raha kuwa free ndani ya nyumba yetu ............... hata kama kitu kimekaa vibaya .......naweka vizuri .............am part of my family and I dont act like a guest.

Ni kweli issue ya housegirl kufulia kwenye bafu la master bedroom - kama hupendi just talk to your sweet wife - nadhani atakuelewa. ONDOA WAZO LA KUFANYA NGONO NA HOUSEGIRL - KISA - ANAFANYA KAZI ALIZOAJIRIWA KUFANYA - HILO NI WAZO LA SHETANI - USIMPE SHETANI NAFASI KUTUMIA KIGEZO HICHO.

MPENDE MKE WAKO - NA USIMWONE KAMA MACHINE YA KUKUFANYIA KAZI - MWONE NI SEHEMU YA MWILI WAKO - UTAISHI MAISHA YA RAHA - ndio mawazo yangu hayo

EHHHH Jamani, wanaume wote wangekuwa na moyo kama wapo kaka yangu, hata asiposaidia kazi kama wewe ila muelewa angalau tuuu, mbona ndoa zingechanua kila siku!!!!!!!!!!! Wenzio wengi wanawaza kuonja kila mahali tuuuuuuuuuuu hawatosheki, mbaya sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom