Tujadili huu mpango biashara (business plan) wa kuku wa kienyeji

Imekaa vizuri hata mimi ninawazo kama hili ila sikuwa na ujuzi wa mambo ya ufugaji hapo nahisi umenifungua kiasi na tusubiri hayo maboresho ya hili pendekezo lako Mkuu.
 
Imekaa vizuri hata mimi ninawazo kama hili ila sikuwa na ujuzi wa mambo ya ufugaji hapo nahisi umenifungua kiasi na tusubiri hayo maboresho ya hili pendekezo lako Mkuu.
kama una wazo kama langu mkuu tuonane chemba aiseeee
 
Mapambano bado yanaendelea wakuu,
ninajishughulisha na ufugaji wa kuku kwa kipindi kirefu sasa. Nimeamua sasa kufanya shughuli hii kitaalam ndipo nikachanganya madesa tofauti tofauti na kupata mpango biashara huu,tafadhari naomba tujadili kwa wale wataalam watoe mapungufu na marekebisho muhim.
karibuni sana nipo tayari kupokea changamoto
nimeattach file katika format mbili yaan word dic na PDF uchague inayokufaa
Imekaa njema sana.
 
Mkuu vipi gharama za wafanya kazi?
Gharama za kusafirisha hao kuku kuwapelekea wateja?
Pamoja na hayo, andaa mpango mkakati wa kujitanua sehemu zingine kwa ajili ya kuhudumia nchi nzima hatimaye EAC na SADC regions! Hata mbuyu ulianza kama mchicha!!
 
Mapambano bado yanaendelea wakuu,
ninajishughulisha na ufugaji wa kuku kwa kipindi kirefu sasa. Nimeamua sasa kufanya shughuli hii kitaalam ndipo nikachanganya madesa tofauti tofauti na kupata mpango biashara huu,tafadhari naomba tujadili kwa wale wataalam watoe mapungufu na marekebisho muhim.
karibuni sana nipo tayari kupokea changamoto
nimeattach file katika format mbili yaan word dic na PDF uchague inayokufaa
Mkuu samahani hiyo attachment kwang imebuma siioni unaweza nitumia niicheki hajjmakwato@gmail.com

Sent from mTalk
 
Pawaga tafadhali tupatie mrejesho wa updated document ili tuendelee kujifunza zaidi, Kingine naomba kujua ukubwa wa eneo lako na aina ya fensi na mabanda uliyoweka,ukiweza kutuma picha itakuwa safi sana.
 
Halafu hawa wafanyakazi unawamanage vipi?au na wewe mwenyewe unaishi hapo shambani?
 
Wazo zuri sana kaka mimi mwenyewe nlikua nafikiria kuanza hii biashara lakin nkawa sina mwanga kabisa.
Wazo langu ni kwamba kwakua wewe ni mzoefu kwanini tusiwe na group letu tukipeana taarifa zaidi na msaada zaidi?
mfano ujenzi wa mabanda ya kuku kwa kuanzia, aina ya kuku ambao ni mbegu nzuri ya kienyeji kufuga, chakula na jinsi ya kuchanganya, na mengine mengi.
Naomba tuwe katika group please litasaidia sana.
Nawasilisha.
 
Kijiti group ndio hili,wengine tuna visimu vya vitochi tafadhalini tuelimishane humux2.
 
Sio kila uzi kwenye jukwaa hili unaweka hii comment yako jaribu kuangalia na mada husika. Mada kuhusu business plan ya ufugaji kuku wewe unaleta Forex scam
Jamaa anaboa kweli mods sijui hawaoni huu upuuzi!!
 
Nitakuja na mrejesho part two baada ya kuifanyia kazi hii plan
 
Saf sana Mkuu nilikuwa natafuta namna ya kuandaa Bussiness plan umenisaidia sana
 
Back
Top Bottom