Tujadili hoja na sio jaziba na chuki, Mh. MSIGWA

Hoja hapa pinda anahofia muungano hakuna hoja kila kitu waislamu wanaonewa...sioni mantiki ya kiongozi wa siasa kutoa tamko....
 
Udini uko wapi hapo? au ni uongo Zanzibar sio zaidi ya 98% Waislaam? mseme nyinyi tukisema sisi udini, wakati nyinyi ndio wadini wakubwa na mnachuki kila mnapoona neno Uislaam au Waislaam roho zenu zinawauma. Zanzibar 98% ni Waislaam kwa hiyo huwezi kwenda wewe na uchungaji wako ukawapangie wafunguwe hoteli za mitaani mwezi wa Ramadhan. Waislaam wana vigezo vyao vya Hoteli na Restaurants zipi zifunguliwe mwezi wa Ramadhan na kwa namna gani, kwani katika Uislaam kuna vigezo vya wasioweza kufunga kwa wakati huo, kama wagonjwa, wazee, watoto, wasafiri, wanawake walio kwenye siku zao. Wote hao wana ruksa ya kula mchana lakini kwa vigezo vyake, sio kwa kuwa wameruhusiwa basi wakae nje wale waziwazi.

Usomeni Uislaam muuelewe, umekuja kuwaokoa katika kufuru za kuabudu binaadam wenzenu kwa kuwafanya ndio miungu yenu. Uislaam haukulazimishi wewe uyafate mambo ya Waislaam na wala wewe usiwalazimishe Waislaam wafate utakavyo wewe.

Wacha kumsikiliza huyo mchungaji aliyekosa umaarufu kwa siasa safi anarukia kujitafutia umaarufu dini ya Wazanzibari, zote chuki kwa kuwa chadema hawana kiti hata ch akuombea maji Zanzibar.

Anajuwa akiuleta udini kwa Wazanzibari Waislaam wote wa bara na pwani hatutakaa kimya na ndicho anachokitaka kujitafutia umaarufu lakini hajui kuwa anazidi kukishindilia msumari chama chake kinachofata siasa za Kikristo kikisaidiwa na CDU ya Ujerumani.

Kaona Zitto hampati ki udini sasa anawachokoza Waislaam wa Zanzibar, asiwachezee Waislaam, akichokoza Muislaam mmoja ajuwe kachokoza Waislaam wote, amuulize Mwinyi, alizabwa kibao hadharani kwa kushadidia zinaa na kondom.

Na yeye asituletee udini wake. Atuwache Waislaam kama tulivyo. Amuulize Zena Kawawa, umesahau au hujui yaliyomkuta au Mrema, mpaka leo hana hamu ya kuwataja Waislaam. Acheze na kanisa na Wakristo asicheze na Muislaam au Uislaam, hatutamvumilia.

Hivi mna wabunge wangapi kutoka Zanzibar? kwi kwi kwi teh teh teh!

Umechanganya mambo mengi mno, jaribu kujenga hoja punguza jazba. Suala la kumcha Mungu ni suala la muda wote ukimcha mungu Mwezi wa Ramadhani na kufanya matendo mabaya miezi inayobaki haitakusaidia kufika mbinguni. Kipindi hiki ni cha high season ya watalii Zanzibar mbona wanakula hao nao vipi? Kumbe baniani mbaya kiatu chake dawa.Mungu hadhihakiwi, tusiwe comedians kama tumeamua kumcha mungu na tuache uovu wa namna zote,
 
I am thinking roudly....hivi kama isingepigwa marufuku kula hadharani mchana huko zanzibar wakati wakristo wasiofunga wapo wachache si ina maana isingekuwa rahisi kumkuta mtu akila hadharani???
huu ni upuuzi mwingine wa serikali ya kiislamu inayoongozwa na pinda....zanzibar wakristo wapo wengi ndiyo maana ikawekwa marufuku hiyo ya kula hadharani mchana kwani kwa kufanya hivyo wangeonekana... wakristo wa zanzibar wanaonewa sana, tena sana...leo mwachoma nyumba zao za kuabudia, na leo mwathubutu hata kuwanyima haki yao ya msingi ya kula?
Zanzibar ni nchi ya Kiislam bara haina dini....naomba wazanzibari waruhusiwe waondoke na nchi yao na dini yao watuachie bara yetu ambayo wakristo na waislamu tutaishi kwa umoja na kwa kuheshimiana

PINDA IS THE POOREST LEADER WE HAVE EVER HAD IN THE LIFE HISTORY OF THIS COUNTRY!!!!!
 
Usomeni Uislaam muuelewe, umekuja kuwaokoa katika kufuru za kuabudu binaadam wenzenu kwa kuwafanya ndio miungu yenu. Uislaam haukulazimishi wewe uyafate mambo ya Waislaam na wala wewe usiwalazimishe Waislaam wafate utakavyo wewe.
Unaonyesha kiasi gani huwezi tetea hoja zako kwa umakini.....ni heri ungekaa kimya tungekuelewa kuliko kujichanganya kiasi hichi
 
Udini uko wapi hapo? au ni uongo Zanzibar sio zaidi ya 98% Waislaam? mseme nyinyi tukisema sisi udini, wakati nyinyi ndio wadini wakubwa na mnachuki kila mnapoona neno Uislaam au Waislaam roho zenu zinawauma. Zanzibar 98% ni Waislaam kwa hiyo huwezi kwenda wewe na uchungaji wako ukawapangie wafunguwe hoteli za mitaani mwezi wa Ramadhan. Waislaam wana vigezo vyao vya Hoteli na Restaurants zipi zifunguliwe mwezi wa Ramadhan na kwa namna gani, kwani katika Uislaam kuna vigezo vya wasioweza kufunga kwa wakati huo, kama wagonjwa, wazee, watoto, wasafiri, wanawake walio kwenye siku zao. Wote hao wana ruksa ya kula mchana lakini kwa vigezo vyake, sio kwa kuwa wameruhusiwa basi wakae nje wale waziwazi.

Usomeni Uislaam muuelewe, umekuja kuwaokoa katika kufuru za kuabudu binaadam wenzenu kwa kuwafanya ndio miungu yenu. Uislaam haukulazimishi wewe uyafate mambo ya Waislaam na wala wewe usiwalazimishe Waislaam wafate utakavyo wewe.

Wacha kumsikiliza huyo mchungaji aliyekosa umaarufu kwa siasa safi anarukia kujitafutia umaarufu dini ya Wazanzibari, zote chuki kwa kuwa chadema hawana kiti hata ch akuombea maji Zanzibar.

Anajuwa akiuleta udini kwa Wazanzibari Waislaam wote wa bara na pwani hatutakaa kimya na ndicho anachokitaka kujitafutia umaarufu lakini hajui kuwa anazidi kukishindilia msumari chama chake kinachofata siasa za Kikristo kikisaidiwa na CDU ya Ujerumani.

Kaona Zitto hampati ki udini sasa anawachokoza Waislaam wa Zanzibar, asiwachezee Waislaam, akichokoza Muislaam mmoja ajuwe kachokoza Waislaam wote, amuulize Mwinyi, alizabwa kibao hadharani kwa kushadidia zinaa na kondom.

Na yeye asituletee udini wake. Atuwache Waislaam kama tulivyo. Amuulize Zena Kawawa, umesahau au hujui yaliyomkuta au Mrema, mpaka leo hana hamu ya kuwataja Waislaam. Acheze na kanisa na Wakristo asicheze na Muislaam au Uislaam, hatutamvumilia.

Hivi mna wabunge wangapi kutoka Zanzibar? kwi kwi kwi teh teh teh!

Kufuru ya kuabudu wanadamu?? Nani ana abudu wanadamu??? Hivi wewe unadhani kwa sababu wewe unaweza kuabudu mwezi na nyota kama ilivyokuwa asili kutoka kwa miungu ya kipagani ya nabii wenu Mohamadi, kila mtu anaweza kufanya hivyo??? Halafu mnatudanganya alitokewa na malaika???? tokea wapi???? Hivi nini tumaini la imani yen baada ya maisha haya hapa duniani????

Kama CHADEMA inafadhiriwa na makafiri/makristo wa kina Zitto wanafanya nini CHADEMA??? Kwa nini katika umoja wenu waislamu msi mshawishi ajiengue CHADEMA???? Halafu hacha mawazo yako ya mgando, CCM anafadhiriwa na nani?? Acha kurukia mambo usiyo yajua?????

Kanisa wala Wakristo si wa kuchezea, ukitaka kulitambua hilo muulize Sheikh Yahya utakapokutana naye, ambaye alikuwa mganga/mchawi mashuhuri na msomaji wenu wa q'uran mashuhuri??? Wewe kwa ufahamu wako kweli, tokea lini mtu anayeishi kwa upanga, sambaza dini kwa upanga, atataka suluhu???? Upanga ndio uliosimama katika imani yenu.
 
Udini uko wapi hapo? au ni uongo Zanzibar sio zaidi ya 98% Waislaam? mseme nyinyi tukisema sisi udini, wakati nyinyi ndio wadini wakubwa na mnachuki kila mnapoona neno Uislaam au Waislaam roho zenu zinawauma. Zanzibar 98% ni Waislaam kwa hiyo huwezi kwenda wewe na uchungaji wako ukawapangie wafunguwe hoteli za mitaani mwezi wa Ramadhan. Waislaam wana vigezo vyao vya Hoteli na Restaurants zipi zifunguliwe mwezi wa Ramadhan na kwa namna gani, kwani katika Uislaam kuna vigezo vya wasioweza kufunga kwa wakati huo, kama wagonjwa, wazee, watoto, wasafiri, wanawake walio kwenye siku zao. Wote hao wana ruksa ya kula mchana lakini kwa vigezo vyake, sio kwa kuwa wameruhusiwa basi wakae nje wale waziwazi.

Usomeni Uislaam muuelewe, umekuja kuwaokoa katika kufuru za kuabudu binaadam wenzenu kwa kuwafanya ndio miungu yenu. Uislaam haukulazimishi wewe uyafate mambo ya Waislaam na wala wewe usiwalazimishe Waislaam wafate utakavyo wewe.

Wacha kumsikiliza huyo mchungaji aliyekosa umaarufu kwa siasa safi anarukia kujitafutia umaarufu dini ya Wazanzibari, zote chuki kwa kuwa chadema hawana kiti hata ch akuombea maji Zanzibar.

Anajuwa akiuleta udini kwa Wazanzibari Waislaam wote wa bara na pwani hatutakaa kimya na ndicho anachokitaka kujitafutia umaarufu lakini hajui kuwa anazidi kukishindilia msumari chama chake kinachofata siasa za Kikristo kikisaidiwa na CDU ya Ujerumani.

Kaona Zitto hampati ki udini sasa anawachokoza Waislaam wa Zanzibar, asiwachezee Waislaam, akichokoza Muislaam mmoja ajuwe kachokoza Waislaam wote, amuulize Mwinyi, alizabwa kibao hadharani kwa kushadidia zinaa na kondom.

Na yeye asituletee udini wake. Atuwache Waislaam kama tulivyo. Amuulize Zena Kawawa, umesahau au hujui yaliyomkuta au Mrema, mpaka leo hana hamu ya kuwataja Waislaam. Acheze na kanisa na Wakristo asicheze na Muislaam au Uislaam, hatutamvumilia.

Hivi mna wabunge wangapi kutoka Zanzibar? kwi kwi kwi teh teh teh!
Kwa mawazo kama haya, nimeamini kweli Waislaam ni JANGA LA DUNIA! Cheki hata nch zao zilivyo na vurugu, and yet hakuna hata moja iliyo kwenye kundi la G20 licha ya utajiri mkubwa wa mafuta walio nao! Mawazo yao yako kama ya Sheikh Ponda Mali tu! Heri kuwa mpagani kama mimi kuliko kuwa muumini wa dini hii!
 
Ukiwauliza wenyewe watakujibu imeandikwa kwenye Quran Tukufu! Dah! Akili zingine bwana?

Waislamu hawana shida na mtu,ila "WAFURUKUTWA WA UISLAMU" Ndio wanaoleta shida humu. Mimi nawajua vizuri,hawa wakina zOBA Hawaijui dini.
 
I am thinking roudly....hivi kama isingepigwa marufuku kula hadharani mchana huko zanzibar wakati wakristo wasiofunga wapo wachache si ina maana isingekuwa rahisi kumkuta mtu akila hadharani???
huu ni upuuzi mwingine wa serikali ya kiislamu inayoongozwa na pinda....zanzibar wakristo wapo wengi ndiyo maana ikawekwa marufuku hiyo ya kula hadharani mchana kwani kwa kufanya hivyo wangeonekana... wakristo wa zanzibar wanaonewa sana, tena sana...leo mwachoma nyumba zao za kuabudia, na leo mwathubutu hata kuwanyima haki yao ya msingi ya kula?
Zanzibar ni nchi ya Kiislam bara haina dini....naomba wazanzibari waruhusiwe waondoke na nchi yao na dini yao watuachie bara yetu ambayo wakristo na waislamu tutaishi kwa umoja na kwa kuheshimiana

PINDA IS THE POOREST LEADER WE HAVE EVER HAD IN THE LIFE HISTORY OF THIS COUNTRY!!!!!
Mkuu, tumia tu ile lugha yetu kuwa huyu jamaa ni DHAIFU tutakupata kwa ufasaha zaidi. Tatizo siyo Zanzibar, tatizo ni Waislamu ambao leo wamefikia hatua ya kusema Zanzibar ni nchi ya Kiislam! Sasa sijui huku Bara ni nchi ya kikoje ila yote haya ni kwasababu ya kuwa na AKILI NDOGO ZINAZOONGOZA AKILI KUBWA! Cheki Uongozi wa Juu wa nchi ndio utaelewa ninachomaanisha hapa!
 
Ndugu zangu waislamu kawasomeni wale wanaoitwa Muslim modern philosophers!!!!
sifikirii kama undugu upo!!!
ila waite watanzania wenzangu,unatukusanya utanzania tu wala si undugu!!
 
Kwa mawazo kama haya, nimeamini kweli Waislaam ni JANGA LA DUNIA! Cheki hata nch zao zilivyo na vurugu, and yet hakuna hata moja iliyo kwenye kundi la G20 licha ya utajiri mkubwa wa mafuta walio nao! Mawazo yao yako kama ya Sheikh Ponda Mali tu! Heri kuwa mpagani kama mimi kuliko kuwa muumini wa dini hii!

Uislaam ndio utatuzi wa matatizo ya dunia. Tazama hao G20 unaowataja ndio hao hao wanaopeleka fujo na fitna nchi za Waislaam.

Tazama leo takwimu za "crime" nchi za Waislaam na zisizo Waislaam utajuwa ni wepi janga la dunia. Na wengi kati yenu wenye kufikiri na wasiopenda maovu wanaingia kwenye Uislaam makundi kwa makundi kutoka huko huko kwa kina G20, ushahidi huu hapa:

Thousands of European Youths Embraced Islam in Holland Holland TV - YouTube

NBC NEWS: 20000 Americans Convert To ISLAM Each Year ! - YouTube

Thousands of Danish Converts to Islam - YouTube
 
Uongo, magaidi na wajitoa mhanga siku zote ni Waislam. Hii dini sijui ilikujakujaje duniani hapa! Na kama Wakristo ndio wanaopandikiza chuki kwa Waislam, huoni kuwa umeshakubaliana na mimi kwamba Waislam ni akili ndogo hata wakiambiwa wauane wenyewe kwa wenyewe wanauana? Yaani mtu asiye wa dini yako (kafiri) apandikize chuki hadi ninyi kwa ninyi mgombane ni akili hiyo kweli? Ama kweli vita vya panzi ...................... Nadhani hata Sheikh Ponda Mali Kufa Kwaja naye katumwa na Wakristo, si bure! Endelea kufikiri hivyo hivyo hadi Mtume Atakapowakuta mkiumana wenyewe kwa wenyewe awapeleke peponi!
 
hizo ni nchi za g20
Argentina
France
Japan
South Africa
Australia
Germany
Mexico
Turkey
Brazil
India
Republic of Korea
United Kingdom
Canada
Indonesia
Russia
United States
China
Italy
Saudi Arabia
nchi za kiislamu hapo saudia na indonesia na turkey inaongozwa kiislamu raisi wake akiwa rajab tayyib ordogan tuonyeshe nchi hapo ya kikristo kutoka africa ndani ya g20!!!ukiachana na south ya kikaburu!!
 
wamarekani wenyewe wameachana na ukristo na sasa wanaishi bila dini au wanaingia katika uislamu,uliskia wapi mashekhe hawaoi halafu wanabaka na kuwauwa watoto??!!!
tunasikia kila kukicha jinsi ya maaskofu na mapadre wanvyoburuzwa mahakamani kwa kesi za ubakaji na uuuwaji,na wahanga ni watoto wa kike na wakiume!
marekani,italy,sweden hizo kesi zimezoeleka!
 
Back
Top Bottom