Tujadili hii katuni ya gazeti la the east african

palalisote

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
8,335
1,455
Hii ni katuni ambayo gazeti la the east africa ilichapisha.



ingekuwa vipi.jpg
 
Inadhalilisha nini wakati ina depict HALI HALISI ambayo mwenye MACHO YOYOTE HAHITAJI KUAMBIWA TAZAMA kuona uozo unaotia kichefuchefu???
 
hahaha among the best I hv seen. imebidi niweke screen saver!
Mnaona inadhalilisha cjui mna maana gani?
 
Nimeamua kuiprint kwenye A3 haidharirishi ila inaelezea uhalisia wa viongozi wetu walivyo.
 
Back
Top Bottom