Tuitishe kura ya maoni juu ya mgomo wa madaktari

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Ili kuondoa unafiki,sintofahamu na manungu'niko juu ya utatuzi wa mgomo wa madaktari ambao umedumu kwa nusu mwaka sasa ningeshauri wananchi ambao ndio waathirika wakuu wa mgomo wapewe fursa ya kupiga kura ya maoni juu ya swala hili.wananchi wapewe fursa ya kusema haki na wajibu wa pande zote mbili ziwe vipi.

Ni ukweli usiopingika kuwa serikali,bunge na mahakama kwa nyakati tofauti wameshindwa kutatua mgogoro huu,hivyo ni wakati muafaka wa kurudisha swala hili kwa wananchi wenyewe waamue.
Nawasilisha...

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Back
Top Bottom