Tuition za siri za Tshs 100,000 kwa mwezi st matthews!

Hapa ni kweli kwamba ni mwenyeji wa Bukoba na ni kweli aliwahi kuwa askari polisi, ambako alijiunga alipomaliza BA education pale UDSM. Lakini la ujambazi una hakika?
Unamfahamu vizuri na unaweza kuliambia jukwaa ukweli halisi kuhusu huyu bwana? maana inaelekea unachanganya uongo na ukweli ili vyote vionekane kama kitu kimoja

Mchukia Fisadi,

Inaelekea wewe unamjua vizuri huyo Bwana. labda nijibu masuala mawili
1. Je inawezekana mtu kamaliza degree na kujiunga na polisi wakati huo aanze na uaskari? mimi ninavyojua ataanza na uofisa (yaani na nyota moja au zaidi) naomba ufafanuzi

2. Tudadavulie je mtu huyo polisi aliacha mwenyewe au alistaafu ndipo akaamua kuanzisha hiyo shule?
 
Kanda2
Je ulikuwapo katika kikao hicho?

Kwa hili inawezekana maana ni mkeleketwa sana wa chama cha kijani. Aliwahi hata kuwapa pikipiki makatibu tarafa/kata wote mkuranga

Hapa ni kweli kwamba ni mwenyeji wa Bukoba na ni kweli aliwahi kuwa askari polisi, ambako alijiunga alipomaliza BA education pale UDSM. Lakini la ujambazi una hakika?
Unamfahamu vizuri na unaweza kuliambia jukwaa ukweli halisi kuhusu huyu bwana? maana inaelekea unachanganya uongo na ukweli ili vyote vionekane kama kitu kimoja

Mheshimiwa L... naona unataka kuleta ukabila kumtetea huyu jamaa.namjua kuliko ninavyokujua wewe.ni jambazi anatumia kugawa pikipiki kama wale walioiba pesa za serikali Arusha wakamkabidhi JK pikipiki kwa ajili ya CCM na JK akazikataa. ndugu yako aligawa kabla ya wale wa Arusha. kama anaweza mwambie JK akipita Mkuranga apeleke pikipiki zake uone kama zitapokelewa.

HUYU bwana (jina nalihifadhi) alikuwa na mchezo huo wa kuwa na kundi la majambazi na kuyakodisha silaha.nimekutajia kuwa alikuwa kituo cha POLISI BUGURUNI unataka ushahidi upi zaidi? au nawe uko naye kwenye shughuli hizo za ujambazi?

naomba nikusaidie hivi karibuni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mkuranga kwa kifupi cha jina lake J.A alivuliwa uenyekiti wa halmashauri hiyo baada ya madiwani kutokuwa na imani nae kwani anashirikiana na huyo mwenye shule ya ST.MATHEWS kwenye ujambazi.

baada ya kuvuliwa kuna genge la majambazi likawa linavamia kila nyumba ya diwani aliyeshiriki kumuengua mwenyekiti wa Halmashauri ya mkuranga bwana J.A,baadhi ya majambazi yalipozidiwa nguvu na wananchi na kukamatwa yakaeleza kila kitu ni nani anawatuma.mhusika mkuu mwenye shule.alipoona kuna sokomoko hilo mwenye shule akaingia na janja ya kujenga ofisi ya chama ya wilaya.

kama yeye ni msamaria mwema kwanini awatoze watoto laki moja kwa mwezi wakati wamelipa ada?

hivi sasa amenunua PhD feki anajiita DR.

HIVI askari polisi aliyekuwa anakaa kwenye lile jengo la ukuta mabati,bwalo la polisi Buguruni anaweza kuibuika vipi mara moja na kuwa milionea?
kumbe Mchukia Ufisadi unachukia ufisadi lakini UNAUPENDA UJAMBAZI?

jamaa yako ni jambazi CCM makao makuu wanajua na yeye analijua hilo this time hatagombea.kwani file la ujambazi bado liko CC LABDA atafute majambazi waende kuliiba.
Nimenukuu hadi kauli ya ukali ya Mzee Mkapa dhidi ya DR. M...... kuwa "yaani hadi majambazi yanataka kugombea ubunge? chama kinakwenda wapi? akaendelea jambazi huyu kapiti vipi huko wilaya na mkoani"? jibu alikuwa akigawa pikipiki na kuwanunulia watu nyumba ili apewe ubunge.
 
Mchukia Fisadi,

Inaelekea wewe unamjua vizuri huyo Bwana. labda nijibu masuala mawili
1. Je inawezekana mtu kamaliza degree na kujiunga na polisi wakati huo aanze na uaskari? mimi ninavyojua ataanza na uofisa (yaani na nyota moja au zaidi) naomba ufafanuzi

2. Tudadavulie je mtu huyo polisi aliacha mwenyewe au alistaafu ndipo akaamua kuanzisha hiyo shule?
Ninamfahamu na najua machache maana nilisoma naye miaka ya mwanzo ya sekondari.
Ni kweli alikuwa Afisa wa Polisi na mara ya mwisho nadhani alifukuzwa kazi na Mrema akiwa OCD pale Kariakoo au Bugurumi kama sisahau.
Aliamua kuanzisha shule ya kiingereza kwenye eneo alilokuwa amenunua baada ya maisha kum tight kwa kukosa ajira na shule yake ya kwanza ni hiyo na yeye at the time alikuwa mwalimu na mkuu wa shule.
Sasa hivi ana shule mbili Dar na naona anajenga na nyingine mikoani!
Lakini najua shughuli zake si shule peke yake bali alikuwa na garage na anashughulika(ana tenda ya) kukusanya ushuru katika halmashauri ya Mkuranga.

Ndio sababu nilimuuliza jamaa je ana uhakika na hilo la ujambazi? angenijibu ningemuuliza series of other questions asiwe ana chuki binafsi na kuileta hapa jf na akiwa na evidence ingelikuwa vema akaiweka hapa!
 
Hii sio habari ya kisiasa.

Kama unachukizwa si uwatoe tu huko?, shule ni kama maduka zimejaa tele!!!

we bw wee wote wako hivyo kuna nyingine ipo hapa kwetu kila siku ni elifu kumi we zidisha by month uone hiyo ipo hapa mikocheni b usiombe kaka sijui tuendako haka ni kaumoja kama ka wauza mafuta!
 
Ninamfahamu na najua machache maana nilisoma naye miaka ya mwanzo ya sekondari.
Ni kweli alikuwa Afisa wa Polisi na mara ya mwisho nadhani alifukuzwa kazi na Mrema akiwa OCD pale Kariakoo au Bugurumi kama sisahau.
Aliamua kuanzisha shule ya kiingereza kwenye eneo alilokuwa amenunua baada ya maisha kum tight kwa kukosa ajira na shule yake ya kwanza ni hiyo na yeye at the time alikuwa mwalimu na mkuu wa shule.
Sasa hivi ana shule mbili Dar na naona anajenga na nyingine mikoani!
Lakini najua shughuli zake si shule peke yake bali alikuwa na garage na anashughulika(ana tenda ya) kukusanya ushuru katika halmashauri ya Mkuranga.
Ndio sababu nilimuuliza jamaa je ana uhakika na hilo la ujambazi? angenijibu ningemuuliza series of other questions asiwe ana chuki binafsi na kuileta hapa jf na akiwa na evidence ingelikuwa vema akaiweka hapa!
Mheshimiwa mtarajiwa mgombea.

unajichanganya sana MARA UNASEMA unajua machache,mara unadhani kama alifukuzwa,mara sijui alikuwa kituo cha Kariakoo au Buguruni.
ushahidi wako ni wa uongo au unaficha kitu.kweli ni huu alifukuzwa kwa ujambazi kituo cha Buguruni.

Mutembei ni jambazi na tapeli, kama mimi ni muongo jee kitu gani kilimshinda kwenye uchaguzi wa 2005 alipogombea kiti cha ubunge mkuranga?

nimekwambia hivi sasa anajiita DR wakati elimu hiyo hana.anatumia jina la ST. kuomba misaada kwenye taasisi za dini nje ya nchi huku shule yake ipo kwa ajili ya biashara na si huduma?na wala si mali ya kanisa.
jambazi huyu anajulikana sana polisi serikalini lakini serikali ya awamu ya tatu ilikuwa ikila na majambazi kama hawa.

MUTEMBEI amekuwa akilindwa na kamanda TIBAIGANA aliyekuwa mkuu wa kanda maalum ya kipolisi. kwani ni kabila moja na MUTEMBEI. MUTEMBEI ameshiriki na kumsaidia ALFRED TIBAIGANA kumjengea Hotel na nyumba ya fahari Mkuranga. kuna kipindi TIBAIGANA alikuwa akimiliki gari iliyopatikana kwa njia za ujambazi.

Mutembei alipata kura mia nne kwenye kura za maoni akiwa chini ya kampeni meneja wake aliyemnunulia Lori JINA la ukoo wake lianza na B.

MUTEMBEI shule hii alianza kuijenga 1995 na shule ya pili hakujenga yeye alinunua majengo ya shule iliyoshindwa kujiendesha,shule hii aliipata kupitia mtoto wa mstaafu mmoja ambaye ana shemeji kutoka Bukoba.kwa bei ya milioni mia moja.

Mkuranga ana kikampuni cha kuwanyonya wananchi anatoza ushuru hadi ukiri.pale kwenye geti vikindu.
MCHUKIA UFISADI JANA UMETOKEA UJAMBAZI TEMEKE NMB
 
ni D. MUTEMBEI
SIO MUTEMBEZI.
Kanda2 we nadhani una lako maana unajifanya kumjua sana na unajifanya kuleta tuhuma nyingiiii ambazo hujaleta ushahidi wake hapa.
Kwanza kwa taarifa yako anaitwa Thadeo Mtembei wala si D.Mutembei kama unavyosema.
Au alikuwa boss wako polisi akakusulubu sana?
 
Nina ndugu hapo st.mathews,A level.ameniacha hoi aliponieleza kuwa St.Mathews wanafunzi wanalazimika kulipia laki moja kwa mwezi kwa somo kwa walimu wao(kwa siri shule haijui-kweli??).
waalimu darasani wanategea hawafundishi vizuri wakijua kuwa mzazi hana jinsi atatoa tu hiyo laki moja ili mtoto wake apate elimu nzuri.

hitimisho:
nionavyo mie,ufisadi uko sehemu nyingi tu tanzania,kuanzia IKULU hadi chekechea.

..kama mambo yapo hivi tunaenda wapi? kwa mtazamo tofauti isije huyo ndugu yako kama ni mwanafunzi akijua mshiko unao utatoa tu laki moja, wakati huenda siyo kwa ajili ya tuition. Mtakumbuka zile stori za zamani wanafunzi wanawaandikia wazazi wao wasiosoma barua kuwa wamevunja (amoeba, bunsen burner) au kidudu chochote cha shule na kwamba wameambiwa walipe ili mzazi atume fedha?
 
Ninamfahamu na najua machache maana nilisoma naye miaka ya mwanzo ya sekondari.
Ni kweli alikuwa Afisa wa Polisi na mara ya mwisho nadhani alifukuzwa kazi na Mrema akiwa OCD pale Kariakoo au Bugurumi kama sisahau.
Aliamua kuanzisha shule ya kiingereza kwenye eneo alilokuwa amenunua baada ya maisha kum tight kwa kukosa ajira na shule yake ya kwanza ni hiyo na yeye at the time alikuwa mwalimu na mkuu wa shule.
Sasa hivi ana shule mbili Dar na naona anajenga na nyingine mikoani!
Lakini najua shughuli zake si shule peke yake bali alikuwa na garage na anashughulika(ana tenda ya) kukusanya ushuru katika halmashauri ya Mkuranga.
Ndio sababu nilimuuliza jamaa je ana uhakika na hilo la ujambazi? angenijibu ningemuuliza series of other questions asiwe ana chuki binafsi na kuileta hapa jf na akiwa na evidence ingelikuwa vema akaiweka hapa!

Mchukia Ufisadi,
Kutokana na maelezo yako hapo juu ,inaelekea umesoma nae lakini umfahamu ndio maana umetumia lugha isiyo ya uhakika katika maelezo yako hapo juu.

Labda nikuulize, kwa afsa mkubwa wa polisi kufukuzwa ujue sio jambo la kawaida. Tudadavulie kidogo kitu gani kilimfanya ofisa huyu kufukuzwa kazi?
 
..kama mambo yapo hivi tunaenda wapi? kwa mtazamo tofauti isije huyo ndugu yako kama ni mwanafunzi akijua mshiko unao utatoa tu laki moja, wakati huenda siyo kwa ajili ya tuition. Mtakumbuka zile stori za zamani wanafunzi wanawaandikia wazazi wao wasiosoma barua kuwa wamevunja (amoeba, bunsen burner) au kidudu chochote cha shule na kwamba wameambiwa walipe ili mzazi atume fedha?

hizi pesa hata hapewi mtoto mkononi.maana sheria ya hiyo shule mwanafunzi haruhusiwi kukaa na fedha,zinakaa kwa matroni.(hii nayo ya kujadiliwa)

kama umesoma vizuri huko juu nilisema kuwa fedha mwalimu anataka kutumiwa kwenye account yake.sio kumpa mkononi mwanafunzi.

wewe huamini tuition za laki moja?basi hauna kijana anayesoma!maana sasa hivi elf 10 kwa siku imekuwa fasheni.kwa hiyo ukichukua 20 working days ni kama laki 2 hivi.

tatizo hapa sio fedha,tatizo ni kulipa ada shuleni na mwalimu huyo huyo anayetakiwa kumfundisha mwanafunzi kwa kutegemea mshahara wake anapoacha kufundisha vizuri kwa makusudi,kwasababu anajua wazi atatoza laki moja kwa mwezi ili afundishe vizuri tuition.

kwa wazazi wenye watoto wanaosoma IDEA nzima ya tuition ni common sana kwao,mara nyingi wazazi wako tayari kulipia tuition ili kuongezea kwenye kile kinachofundishwa mashuleni.hasahasa wakati wa likizo kwa wanafunzi wa boarding schools.

hamna mzazi anayempeleka mtoto boarding school akitegemea afundishwe tuition muda wa vipindi au "prepo".wakati analipa ada kamili kwa ajili ya elimu ya mtoto.
 
Mchukia Ufisadi,
Kutokana na maelezo yako hapo juu ,inaelekea umesoma nae lakini umfahamu ndio maana umetumia lugha isiyo ya uhakika katika maelezo yako hapo juu.

Labda nikuulize, kwa afsa mkubwa wa polisi kufukuzwa ujue sio jambo la kawaida. Tudadavulie kidogo kitu gani kilimfanya ofisa huyu kufukuzwa kazi?
Nimekwambia yangu ninayofahamu kwa sehemu.
Kama huyajui vema muulize kanda mbili yeye anasema nanamfahamu zaidi. Sitaki kuendelea kuwajadili watu hapa maana haina mashiko sana. Over and out.
 
Kanda2 we nadhani una lako maana unajifanya kumjua sana na unajifanya kuleta tuhuma nyingiiii ambazo hujaleta ushahidi wake hapa.
Kwanza kwa taarifa yako anaitwa Thadeo Mtembei wala si D.Mutembei kama unavyosema.
Au alikuwa boss wako polisi akakusulubu sana?

HIVI SANA ANAJIITA DK MUTEMBEI NDIO MAANA NIKAWEKA D.MUTEMBEI ANA PhD FEKI.

MCHANGO WAKO HUKO JUU ULINIAMBIA NILIELEZE JUKWAA KAMA NINAMJUA MUTEMBEI.
NDIO NIKAWEKA KILA USHAHIDI HADI USHIRIKIANO WAKE WA KIJAMBAZI NA TIBAIGANA. NANI HAJUI KUWA KIPINDI CHA UTAWALA WA KINA TIBAIGANA NDIO JESHI LA POLISI LILIKOSA MAADILI KIASI YA KUONEKANA KUNA UBIA KATI YA POLISI NA MAJAMBAZI.

WEWE HUIJUI HOTEL NA NYUMBA YA TIBAIGANA MKURANGA ILIYOJENGWA NA MUTEMBEI? KWA LIPI HADI AMJENGEE NYUMBA? UNAJIFANYA HUJUI KUWA TIBAIGANA ANAMILIKI MAGARI YA WIZI?SIJIFANYI KUMJUA NI KWELI NAMJUA SANA PAMOJA NA SHUGHULI ZAKE ZA KIJAMBAZI.

NDIO MAANA MWALIMU NYERERE ALIKEMEA UKABILA, MHESHIMIWA UNATETEA MTU AMBAYE NI JAMBAZI KISA MNATOKA KABILA MOJA NA WEWE UNATAKA UJE KUTUONGOZA KTK HALI HII?
O.K KAMA MIMI MUONGO JEE MUTEMBEI ALIACHA KAZI AU ALISTAAFU POLISI BUGURUNI? KAMA ALIACHISHWA KWA KUONEWA KWANINI ASISHTAKI?

MREMA ALIPOKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ALIKUWA NA UTARATIBU WA KUWAFUATILIA ASKARI WANAFANYA SHUGHULI ZA KIJAMBAZI AKAMBAINI MUTEMBEI AKATILIWA KAZI.

SINA JAMBO LOLOTE DHIDI YAKE ILA NI WAJIBU WANGU KUWAJULISHA WANANCHI KUWA FULANI NI JAMBAZI SERIKALI ISIHANGAIKE KWENDA MBALI KUTAFUTA MAJAMBAZI YA TEMEKE,WAANZE KUWAKABILI WALIOWAHI KUFUKUZWA KAZI YA UPOLISI KWA UJAMBAZI.

KWELI MUTEMBEI NA KIKAMPUNI CHA KUKUSANYA KODI YA UKIRI AWE MILIONEA KIASI HIKI? MBONA HAWALIPI VIZURI WALIMU WAKE KAMA YEYE MILIONEA?

NITAMKUMBUKA MKAPA KWA UJASIRI WAKULIZUIA JAMBAZI KUINGIA BUNGENI.
AKIWACHUKUA FOMU TENA MWAKANI HOJA NI HII HII YA UJAMBAZI LABDA UMPELEKE CHADEMA NAKO SIDHANI KAMA WAKO TAYARI KUWA NA MAJAMBAZI KAMA WAGOMBEA UBUNGE.

MKUU KUMBE NDIO MAANA CUF WAMEKUSHINDWA UNATETEA UOVU KAMA HUU?
 
Nimekwambia yangu ninayofahamu kwa sehemu.
Kama huyajui vema muulize kanda mbili yeye anasema nanamfahamu zaidi. Sitaki kuendelea kuwajadili watu hapa maana haina mashiko sana. Over and out.
mkuu kama HUTAKI tunajadili watu kwani siku zote JF tunajadili MITI,WANYAMA au NDEGE?

SWALI la pili kama haina mashiko kwanini in the first place ulijiingiza kujadili?

jibi ni jepesi ulitaka kudanganya watu,nimekushika sasa unakimbia,Mutembei NI JAMBAZI sugu. fikiri mzazi anasema kuwa analipa ada milioni 1.7 na bado kina mwezi anatakiwa apeleke laki moja. huo sio ujambazi mwingine wa MUTEMBEI?
umeshtuka vizuri kwani kadri unavyojibu ningezidi kumuweka wazi classmate wako.
 
Mchukia Ufisadi,
Kutokana na maelezo yako hapo juu ,inaelekea umesoma nae lakini umfahamu ndio maana umetumia lugha isiyo ya uhakika katika maelezo yako hapo juu.

Labda nikuulize, kwa afsa mkubwa wa polisi kufukuzwa ujue sio jambo la kawaida. Tudadavulie kidogo kitu gani kilimfanya ofisa huyu kufukuzwa kazi?

Hawezi kusema kwani ni jamaa yake anamuhifadhi.

wewe fikiria polisi kipindi cha Mwinyi alikuwa na mshahara gani wa kumfanya awe milionea? MUTEMBEI alipofukuzwa tu kazi ya Upolisi Buguruni akaanzisha gereji kama unavyojua magari yakiibiwa jambazi anapokuwa na gereji yake inarahisisha mambo mengi.muda huo huo wa kufukuzwa kazi Buguruni akaanza kujenga majengo ya shule hii ambayo ni ya dhamana kubwa sana.

lazima uelewe kuwa Mutembei hakupata mafao yeyote baada ya kufukuzwa kazi POLISI kwa tuhuma za ujambazi.

wakati wa awamu ya Tatu ndio majambazi yalineemeka sana kwani ndipo walipoanza mbinu mpya ya kuingia mabenki na kuvamia kama ilivyofanyika juzi benki ya TEMEKE.

Bwana Mutembei NI MTU WA AJABU na pekee Tanzania aliyekuwa akiwania ubunge na huku akiwagawa piki piki,gari na nyumba.kama unavyojua pesa ya ujambazi haina uchungu.

Baru baru nitumie email yako kwenye private message ili nikueleze mengi juu ya huyu MUTEMBEI kwani mengine siwezi kuandika hapa.
 
HIVI SANA ANAJIITA DK MUTEMBEI NDIO MAANA NIKAWEKA D.MUTEMBEI ANA PhD FEKI.

MCHANGO WAKO HUKO JUU ULINIAMBIA NILIELEZE JUKWAA KAMA NINAMJUA MUTEMBEI.
NDIO NIKAWEKA KILA USHAHIDI HADI USHIRIKIANO WAKE WA KIJAMBAZI NA TIBAIGANA. NANI HAJUI KUWA KIPINDI CHA UTAWALA WA KINA TIBAIGANA NDIO JESHI LA POLISI LILIKOSA MAADILI KIASI YA KUONEKANA KUNA UBIA KATI YA POLISI NA MAJAMBAZI.

WEWE HUIJUI HOTEL NA NYUMBA YA TIBAIGANA MKURANGA ILIYOJENGWA NA MUTEMBEI? KWA LIPI HADI AMJENGEE NYUMBA? UNAJIFANYA HUJUI KUWA TIBAIGANA ANAMILIKI MAGARI YA WIZI?SIJIFANYI KUMJUA NI KWELI NAMJUA SANA PAMOJA NA SHUGHULI ZAKE ZA KIJAMBAZI.

NDIO MAANA MWALIMU NYERERE ALIKEMEA UKABILA, MHESHIMIWA UNATETEA MTU AMBAYE NI JAMBAZI KISA MNATOKA KABILA MOJA NA WEWE UNATAKA UJE KUTUONGOZA KTK HALI HII?
O.K KAMA MIMI MUONGO JEE MUTEMBEI ALIACHA KAZI AU ALISTAAFU POLISI BUGURUNI? KAMA ALIACHISHWA KWA KUONEWA KWANINI ASISHTAKI?

MREMA ALIPOKUWA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ALIKUWA NA UTARATIBU WA KUWAFUATILIA ASKARI WANAFANYA SHUGHULI ZA KIJAMBAZI AKAMBAINI MUTEMBEI AKATILIWA KAZI.

SINA JAMBO LOLOTE DHIDI YAKE ILA NI WAJIBU WANGU KUWAJULISHA WANANCHI KUWA FULANI NI JAMBAZI SERIKALI ISIHANGAIKE KWENDA MBALI KUTAFUTA MAJAMBAZI YA TEMEKE,WAANZE KUWAKABILI WALIOWAHI KUFUKUZWA KAZI YA UPOLISI KWA UJAMBAZI.

KWELI MUTEMBEI NA KIKAMPUNI CHA KUKUSANYA KODI YA UKIRI AWE MILIONEA KIASI HIKI? MBONA HAWALIPI VIZURI WALIMU WAKE KAMA YEYE MILIONEA?

NITAMKUMBUKA MKAPA KWA UJASIRI WAKULIZUIA JAMBAZI KUINGIA BUNGENI.
AKIWACHUKUA FOMU TENA MWAKANI HOJA NI HII HII YA UJAMBAZI LABDA UMPELEKE CHADEMA NAKO SIDHANI KAMA WAKO TAYARI KUWA NA MAJAMBAZI KAMA WAGOMBEA UBUNGE.

MKUU KUMBE NDIO MAANA CUF WAMEKUSHINDWA UNATETEA UOVU KAMA HUU?
Wewe kanda2 kweli,
Kumbe unamchukia mtu kwa kuwa hamtoki kabila moja au si wa kabila lako?
Kwanza nani kakwambia mimi na yeye tu kabila moja?
 
samahani wandugu,msitoane macho."it's not worth it!"
it is time to get back to the topic, and discuss the issues presented here.

ni hilo tu!
 
Wewe kanda2 kweli,
Kumbe unamchukia mtu kwa kuwa hamtoki kabila moja au si wa kabila lako?
Kwanza nani kakwambia mimi na yeye tu kabila moja?
Mara useme uko OUT swali jepesi hii rangi nyekundu unayoitumia kuandika ni alama ya chama chako cha zamani au chama kipya kwani vyote vina rangi nyekundu? naomba tafsiri ya maneno yako ya chini NEW HOME una maana ndio chama chako kipya au una maana nyingine zaidi ya hiyo?
 
Back
Top Bottom