Tuition Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Sijui ukweli wa hii habari lakini hata hivyo sitashangaa kwa sababu ya maswali yafuatayo;-

1. Je wana vitabu vya kutosha na vinapatikana?
2. UDSM wana lecture rooms za kuwatosha?hamna wanaokaa chini na hata hwasikii lecturer anasema nini?
3. Wanamalazi salama? wengine naiskia wanatoka kibahaa na usafiri ulivyo wa shida.
 
Chuo kikuu cha DSM, kuna kitu kinaitwa Pre entry, hii ni kwa wanafunzi wa kike katika course za sayansi na injinia. Wanafunzi hawa hawakuweza kufaulu vizuri sana kidato cha sita, hivyo wanafanyiwa masomo ya ziada kwa muda wa wiki 10 kabla ya wengine kufungua chuo, baada ya hapo wanafanya mitihani na watakaofaulu huwa wanaendelea na wanafunzi wengine wa kawaida. Tulikuwa tunawaita VD yaani viwango duni kwani hawakufanya vizuri kidato cha sita. Nakumbuka kuna mmoja wao alikuwa anatukimbiza darasani kwelikweli.

Mtoa mada sijui anawasema hao, au? Twisheni kama twisheni kwa wanafunzi wa kawaida, sijui ila kwangu haiingii akilini. Kama ni kweli basi twafwaaa. Ngoja nifanye upelelezi

brother umeelezea vyema.sasa mleta hoja aje a-clarify ili tuwe pamoja.
 
Lengo lake (pre entry) ni kuwasaidia wanafunzi wa kike katika kozi za sayansi na injinia, ili angalau taifa liweze kuwa na wataalam wa kike katika fani hizo. Kwa kweli imesaidia sana, kwani kuna wanafunzi wengi wa kike katika kozi hizo kwa sasa. Na wengi wao wanafanya vizuri.
 
hao ni vilaza wanaitwa vidu pale coet...yani ni project ya mama mkapa kuwainua wanawake kwenye masomo ya sayansi, wanalipiwa ada mpaka accomodation na tuisheni ili kuwabust.

vidu kirefu chake ni viwango duni.
Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.
Aliyekuambia kuwa kupata A's form six ndio viwango juu ni nani? au aliyefeli form six na hakupata nafasi ya kuingia chuo ni mjinga?Ndugu umeishi mazingira ya wapi wewe? ulaya kwa wazungu?
Wapo wengi sana walifeli darasa la saba na hawakuwa na mawazo ya kushindwa kama yako,waliendelea na shule na sasa ni watu wakutumainiwa kushinda wewe.
Kufeli level fulani sio kufeli mitihani yote au kufeli maisha.
Wapo watu kibao Chuo walipata Div one ni wadesaji wakuu hapo chuo,na wanatoka na first class vilevile kwa ajili ya udesaji.
Angalia kiini cha tatizo na ukate miziz na sio kupurura majani juujuu.
Kufeli mitihani katika level yoyote huwa na matokeo ya vitu vingi sana.
Acha kudharau na kucheka mtu yeyote ila jifunze kuyajua matatizo yao na kuwasaidia.
Na Mungu akubariki sana.
 
Ubarikiwe,una akili sana.
 
mama joe, hili la coet si hivyo kama unavyolielezea.

Program (sio twisheni) inayoendeshwa coet kwa taarifa nilizonazo imelenga kuwasaidia watoto wa kike, kuwaandaa kwa ajili ya masomo yanayotarajiwa kuanza. Nia ni kuhakikisha wanamudu masomo yao na kuwahamasisha kuchukua masomo ya sayansi. Inawalenga watoto wa kike wenye maksi za wastani.
Sorry kwa hiyo hii sio tuition ya darasani bali ni some sort of Pre University course?! but what the hell these girls are going to get out of it?
kama ulipata Div 3 ukawa accepted into Univ do you need a pre- something to make you competent during the coming academic year or just you struggle to show that this time around you will do better? Je iko open? I mean ni mpango maalumu wa Chuo au vitu vya uchochoroni?
Hatuna nia mbaya but in this FISADI era, everything is possible in Tz.
 
hao ni vilaza wanaitwa vidu pale coet...yani ni project ya mama mkapa kuwainua wanawake kwenye masomo ya sayansi, wanalipiwa ada mpaka accomodation na tuisheni ili kuwabust.

vidu kirefu chake ni viwango duni.

naomba uniruhusu nikurekebishe, hiyo project si ya mama mkapa ni ushirikiano wa UDSM na foundation moja nchi marekani ambayo kwa kweli imesaidia wengi sana na mwanzoni walikuwa wakifadhili kozi zote ila sasa wamejikita kwenye sayansi.

i dare to say that hawa mabinti wengi wao kama si wote wamethibitisha kuwa na viwango vizuri sana na matokeo yameonesha hivo.

kwa kithibitisha zaidi waweza kupata takwimu sahihi pale ofisi ya gender udsm.

hata hivyo sidhani wao ndo wamepelekea kuwepo tuisheni hapo UDSM
 
Sorry kwa hiyo hii sio tuition ya darasani bali ni some sort of Pre University course?! but what the hell these girls are going to get out of it?
kama ulipata Div 3 ukawa accepted into Univ do you need a pre- something to make you competent during the coming academic year or just you struggle to show that this time around you will do better? Je iko open? I mean ni mpango maalumu wa Chuo au vitu vya uchochoroni?
Hatuna nia mbaya but in this FISADI era, everything is possible in Tz.

MAMA JOE ni vizuri kutaka kujua maaana anything and everything is possible in this dear country of ours!!!

Kwa ufahamu wanguni mpanfo maalum wa chuo
 
Tuisheni ninayozungumzia ni wanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam, sehemu ya mlimani yaani "watoto wa mkandala" nenda changanyikeni kituo cha daladala cha bondeni, iliza madarasa wanayosomea wanachuo utaoneshwa. Madarasa yanajaa kama tution za mkandawile enzi zile
 
Kwani ubaya wa twisheni ni nini?

Twisheni humkosesha mwanafunzi muda ya kufikiria na kusoma vitabu vingi(kutafuta material mwenyewe)
kumbuka maswali yanayoulizwa kwenye mtihani ni kumi tu, kati ya uliyosoma miezi 4(semista 1), hivyo ukitafuta majibu ya hayo maswali kwa msaada wa mtu mwingine(mwalimu), kamwe hutakuwa na uwezo wa kufikiri, utakuwa tegemezi daima!
Kama wewe ni mwanafunzi mwuulize mwalimu wako tofauti ya manrno haya "pupil" na "student"
 
Sorry kwa hiyo hii sio tuition ya darasani bali ni some sort of Pre University course?! but what the hell these girls are going to get out of it?
kama ulipata Div 3 ukawa accepted into Univ do you need a pre- something to make you competent during the coming academic year or just you struggle to show that this time around you will do better? Je iko open? I mean ni mpango maalumu wa Chuo au vitu vya uchochoroni?
Hatuna nia mbaya but in this FISADI era, everything is possible in Tz.

mama joe,

sina details za ndani kuhusu hii programu lakini sioni ubaya wake ikiwa nia ni kuwasaidia watoto wa kike wapate fursa sawa na wenzao wa kiume. Ni jambo la kitambo maana nililisikia miaka 2 au zaidi iliopita. labda walionufaika na hii programu watafutwe watupe feedback maana si jambo la kujifichaficha.
 
Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.
Aliyekuambia kuwa kupata A's form six ndio viwango juu ni nani? au aliyefeli form six na hakupata nafasi ya kuingia chuo ni mjinga?Ndugu umeishi mazingira ya wapi wewe? ulaya kwa wazungu?
Wapo wengi sana walifeli darasa la saba na hawakuwa na mawazo ya kushindwa kama yako,waliendelea na shule na sasa ni watu wakutumainiwa kushinda wewe.
Kufeli level fulani sio kufeli mitihani yote au kufeli maisha.
Wapo watu kibao Chuo walipata Div one ni wadesaji wakuu hapo chuo,na wanatoka na first class vilevile kwa ajili ya udesaji.
Angalia kiini cha tatizo na ukate miziz na sio kupurura majani juujuu.
Kufeli mitihani katika level yoyote huwa na matokeo ya vitu vingi sana.
Acha kudharau na kucheka mtu yeyote ila jifunze kuyajua matatizo yao na kuwasaidia.
Na Mungu akubariki sana.

Amen!!

You are very smart and special my ZD!!!
 
MAMA JOE ni vizuri kutaka kujua maaana anything and everything is possible in this dear country of ours!!!

Kwa ufahamu wanguni mpango maalum wa chuo
Thanks bht unajua mie naona wana wajaza vitu vingi mno kiasi mtoto anakuwa sie creative kwa sababu ya kukaa anaakariri bila kuelewa hayo mafundisho tu yasiyoisha, kumbe ni kusoma alafu unarudia tena exam ili upate chance ya kuingia chuo, mhh1 thanks and all the best
 
Yani wewe sijui nikufanyeje yani,wewe ni masikini wa fikra sana.
Aliyekuambia kuwa kupata A's form six ndio viwango juu ni nani? au aliyefeli form six na hakupata nafasi ya kuingia chuo ni mjinga?Ndugu umeishi mazingira ya wapi wewe? ulaya kwa wazungu?
Wapo wengi sana walifeli darasa la saba na hawakuwa na mawazo ya kushindwa kama yako,waliendelea na shule na sasa ni watu wakutumainiwa kushinda wewe.
Kufeli level fulani sio kufeli mitihani yote au kufeli maisha.
Wapo watu kibao Chuo walipata Div one ni wadesaji wakuu hapo chuo,na wanatoka na first class vilevile kwa ajili ya udesaji.
Angalia kiini cha tatizo na ukate miziz na sio kupurura majani juujuu.
Kufeli mitihani katika level yoyote huwa na matokeo ya vitu vingi sana.
Acha kudharau na kucheka mtu yeyote ila jifunze kuyajua matatizo yao na kuwasaidia.
Na Mungu akubariki sana.

mwanangu(ziondaughter) nimetumia maneno ya kawaida sema kama hujayazoea unaweza kuona ni makali.

au labda kwa kuwa na ww ni binti, lakini usikonde yote maisha mumie.

kuna tofauti ya kupata div 3 pcm na hgl so ki-injinia anaweza onekana hajapaform lakini kiukweli bado ni mzima upstairs thts y wakichanganyikana na wale waukweli ndo wanaonekana kuweza.

hope umenisamehe mwanangu au sio...
 
Thanks bht unajua mie naona wana wajaza vitu vingi mno kiasi mtoto anakuwa sie creative kwa sababu ya kukaa anaakariri bila kuelewa hayo mafundisho tu yasiyoisha, kumbe ni kusoma alafu unarudia tena exam ili upate chance ya kuingia chuo, mhh1 thanks and all the best

Thanks binafsi naisapoti sana hii project imeonesha mafanikio na ndo maana inaendelezwa and the gurls have proved kuwa wanaweza.
 
Tuisheni ninayozungumzia ni wanachuo wa chuo kikuu cha dar es salaam, sehemu ya mlimani yaani "watoto wa mkandala" nenda changanyikeni kituo cha daladala cha bondeni, iliza madarasa wanayosomea wanachuo utaoneshwa. Madarasa yanajaa kama tution za mkandawile enzi zile
Gosh! am speechless, asiye na hela ndo atafanyeje? wakike watajiuza na wakiume wataiba etc, God forbid. njaa gani hii waalimu?
 
Jamani ninachokiongelea hapa ni jambo la ukweli na sio uzushi. Pia lazima tutofautishe programme na tution. Pre entry ni programme na sio tution. WanaJF tafadhari kama yupo yoyote anayeishi Changanyikeni akaulize hilo. Hii ni aibu kuu kwa UDSM.
 
Twisheni humkosesha mwanafunzi muda ya kufikiria na kusoma vitabu vingi(kutafuta material mwenyewe)
Inategemea unaongelea levo gani brother kilemi. researcher ndiye nadhani anatakiwa ajitafutie mwenyewe vitu gani asome na kwa staili ipi. Kwa mwanafunzi (pupil au student) hata awe wa PhD anatakiwa apate mwongozo na msaada wa mwalimu wake (tuisheni)
kumbuka maswali yanayoulizwa kwenye mtihani ni kumi tu, kati ya uliyosoma miezi 4(semista 1), hivyo ukitafuta majibu ya hayo maswali kwa msaada wa mtu mwingine(mwalimu), kamwe hutakuwa na uwezo wa kufikiri, utakuwa tegemezi daima!
maswali kumi kivipi, sijakuelewa point yako. kutunga mtihani mrahisi hilo sio tatizo la twisheni bw.kilemi, huo ni uzembe wa mtungaji mwenyewe.
Kama wewe ni mwanafunzi mwuulize mwalimu wako tofauti ya manrno haya "pupil" na "student"
bw.kilemi pupil na student wote wanasaka elimu. tofauti ni level tu ya elimu wanayoitafuta.
 
Nina sababu moja kubwa ndugu:
Serekali iliruhusu shule nyingi binafsi bila kuwa na usimamizi makini. Shule zile ziliota kama uyoga kwenye miji mikubwa kana Dar, na malengo ya shule/elimu yakabadilika, toka uelimishaji kuwa kutegauchumi!
kama ilivyo biashara nyingine kuvutia wateja ni kuhakikisha wanafaulu kwa njia yoyota ile, wizi wa mitihani, tuition kupita kiasi nk.nk.
Utafiti kidogo nenda shule yoyote inayoitwa "St". Utakuta library zao past paper model answers ni nyingi kuliko text books!
Mpe mwanafunzi wa form6 PCM swali la hesabu:- Atakujibu, ila alivyopata hilo jibu hatajua!
Hawa wanafunzio waliolazimishwa kufaulu kidato cha sita, ndio waliojaa hapo UDSM!
Bila hiyo tuition chuo kitatoa magentlemen kibao, sisi tufikirie tu utandaji wao baada ya kuhitimu!! watakuwa watendaji, au wanasiasa? maana siasa peke yake ndo kazi yenye kipato bila akili nyingi!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom