Mpangamji
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 540
- 140
Huu sio wakati wa Party Supremacy, Makuzi yoyote ya kidemokrasia lazima yaambatane na changamoto, Dr. yupo well contented hivyo anaweza sana kutafsiri kwa ufanisi zaidi Mabadiliko ambao CDM wanasimamia, kamwe usiogope neno DEMOKRASIA, sasa ni wakati wa kufanya SIASA na sio HARAKATI.
Nafasi ya ukatibu haitaji sana political figure, bali strategy maker, na hivi ndio tutajenga CDM imara zaidi.
Cut the story short, kwa hiyo unampendekeza nani awe Katibu Mkuu, kwa manufaa ya nani?