tuitangaze tanzania yetu kwenye mitandao

JosM

JF-Expert Member
Oct 11, 2008
679
17
Katika pita pita zangu kwenye mitandao ya Watanzania sijaona wakiitangaza Tanzania kitalii au kuonesha rasilimali zetu tulizo nadho, zaidi ya kuzungumzia siasa zaidi na mambo mengine.kwa wenzetu Kenya wao wako tofauti sana karibu kila Mkenya ana akikisha anaitangaza nchi yake duniani kote.Ebu angalieni hii link hapa ambayo ina sambazwa na wakenye kwenye forums zetu hili tujionee rasilimali zao na jinsi walivyo piga hatua kimaendeleo.link hii hapa MISTERSEED.COM...............MESSAGE BOARD: 30 assorted photos from across Kenya... We have spoiled a good country kweli
JAMANI NA SISI TUAMKE SASA.
 
Last edited:
Back
Top Bottom