tuipatie nchi yetu ya tanzania katiba iliyo bora

parmena mpande

New Member
Jul 22, 2012
3
0
nimekuja na tahadhari ya kwa watu sugu wasio itakia mema nchi yetu kwa sababu zao za ubinafsi na ufsadi kwa wasiingilie mchakato wa katiba wa sasa kuzuia matakwa ya walio wengi jinsi gani wanataka nchi iongozwe,jambo la msingi wanalopashwa kuja ni kwamba wao ipo siku hawatakuwepo lakini tanzania itaendelea kuwepo hivyo ni bora wakaiacha tanzania iendelee mbele kuliko kuitengenezea mazingira ya shida kutawalika, watanzania tuungane kuwafichua watu wasio itakia mema nchi yetu kwa masilahi yao na familia zao ,tukiamua tunaweza tufanye hivyo bila kujali itikadi zetu tuta kuwa tumepona ,nakuanza kufaidi matuinda ya rasilimali tulizo nazo NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom