Tuikatae CCM daima, usiuze kura yako

Hasa baada ya CCM kuamua kufanyia ufisadi hadi mafao yetu kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii. Mimi nimeishaikataa siku nyingi, kwa sasa naendelea kushauri watu wengi zaidi kuikataa CCM
 
Mimi mpaka wapinzani waachane na hoja yao ya serikali tatu
 
Hii ni Kali kwamba CCM imezeeka...ujumbe huu hautapenya vyema kwa wale wenye Mitazamo ya kidini aka Wana UAMSHO kwasababu ya backup rhyme iliyotumika. Ujumbe Kama huu unahitaji "spin" ya CCM. Ninasikitika " I CAN'T SEE ANYONE IN MKAMA's SECRETARIET WHO HAS WHAT IT TAKES TO DO THAT TO SAVE THE PARTY" Kwa bahati mbaya naona mbinu za "porini" zikichukua kipaumbele dhidi ya utetezi wa kutumia Hoja Za nguvu. Nape na wenzie ni "wepesi" sana kwasababu ya kukosa msingi.Kwenye uongozi wa kisiasa tena kwa ngazi ya kitaifa na kwa chama kongwe Kama CCM huoti Kama Uyoga na kuwa kiongozi kwa kushikwa mkono. Hii ni dhambi kubwa inayokimaliza chama cha mapinduzi. (check their profiles of Nape and Mwigulu and ask yourself ..what have they done to the community to deserve the post they hold? Could there be other people among CCM MWMBERS WHO DESERVE MORE TO HOLD THE POSTS? What was the profile of those who have ever held those posts?)Hapo ndipo ujumbe wangu utakua umeeleweka.
 
Back
Top Bottom