Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,217
That true mkuu,kuna hawa vijana wa udsm,IFM,IAA na mzumbe,hadi wamekua kero humu jf
udsm wanakupa kero gani?
That true mkuu,kuna hawa vijana wa udsm,IFM,IAA na mzumbe,hadi wamekua kero humu jf
wanafunzi wengi wa mikoani wanaona fahari kufika dar. Wanajihisi umaarufu sana kusoma udsm kwakuwa hawajui vyuo vingine.
Mimi sidhani kama chuo ndo kinamfanya mtu awe mwajibikaji mzuri katika kazi, hapa ni mtu mwenyewe kujitambua na kujua uwezo wako ukoje hivyo sioni umuhimu wa kuvisifia baadhi ya vyuo hapa tz
umaarufu wao uko kwenye migomo na sifa za kijinga tu..
Mimi kwa mtazamo wangu, msiaumu vyuo, lawama ziende kwa wanafunzi wenyewe. Mf mimi wa udsm, nimejisikia vibaya kwa posts zenu. Yaani watu mnaponda chuo, kwani waliotoa rank ya vyuo wameangalia vigezo gani? Ina maana udsm sio chuo bora? Chuo bora ni kipi sasa? Udsm bado kipo juu, sema tu baadhi ya wanafunzi wa udsm ndio wanaharibu sifa ya chuo. Sio vizuri kujumuisha tabia ya mtu na chuo anachosoma. Wewe soma ondoka na GPA nzuri ndio kinachotakiwa, ubora wa chuo unachosoma utumie vizuri na sio kuponda vyuo vingine au kulaumu vyuo vingine.
hili ndio lengo la hii thread kaka,kila mwanachuo aheshimu chuo cha mwenzake na hii migogoro ya kuligeuza jukwaa la elimu kuwa jukwaa la wafirisika mawazo yote itaisha na tutapata nafasi nzuri ya kila mwanachuo kutoa michango katika ishu mbalimbali zinazohusiana na taaluma nchin.
Swala la ubora wa chuo kwa hapa Tanzania ningependa niwe muwazi kwenye hili kiukweli baadhi ya vyuo vimeteremka ubora na haya ndio mambo ya kuyazungumzia nini kifanyike hili ubora wa vyuo vyetu hivyo viweze kurudi katika hali yake na vizidi kusonga mbele.
That true mkuu,kuna hawa vijana wa udsm,IFM,IAA na mzumbe,hadi wamekua kero humu jf
Hata sisi Tia hatuna makuu ila wakaulizie wahasibu kwenye idara mbalimbali watapata stori, kizuri chajiuza bana huu msemo haupitwi na wakati
Wana jukwaa hili la elimu ningependa wote tuige mfano wa hivi vyuo hapa Tanzania ambavyo havijihusishi katika kunadi uwezo wa vyuo vyao huku wahitimu wao waking'ara kitaifa na kimataifa katika utendaji kazi wao,vyuo hivyo vya kuigwa ni ARDHI,SUA,SUZA(STATE UNIVERSITY OF ZANZIBAR),MUHAS NA HKMU(HUBERT KAIRUKI).

kama ni hivyo ni thread nzuri.
Lakini hapa kuna comments za watu wanaponda vyuo. Naona kuna watu wanaitumia hii thread kuponda na kusifia vyuo vyao.
wengine hapa ndio wanatolea machungu yao.
watu bado wana hasira na kukosa vyuo na kwenda kusoma popote. Nilipata kukutana na mtu wa TIA, alisema wazi wazi kwamba hatupendi watu wa UDSM eti tunajifanya tunajua<akasahau kwamba anayejua anajua na hakuna kujifanya>, nilipompepeleleza zaidi nikaja kugundua aliangukia pua form 6, na lengo lake lilikuwa kusoma UDSM, mpaka muda huo alikuwa na bifu na NECTA.

nyinyi wanaadamu acheni haya mambo ya kujikweza,kumbuka maisha ni safari na safari yenyewe sio ndefu,hayo mambo ya chuo ni vitu tu vya dunia wala visikubabaishe,mimi niko chuo lakini siwezi hata siku moja kumdharau aliekosa chuo,kwahiyo kaka hiyo hadith yako ya huyo jamaa wa TIA haina mantiki kabisa,cha msingi ni yeye kusoma na kupata ujuzi wa taaluma yake imsaidie yeye na jamii yake kwa ujumla regardless amesoma chuo gani.
watu bado wana hasira na kukosa vyuo na kwenda kusoma popote. Nilipata kukutana na mtu wa TIA, alisema wazi wazi kwamba hatupendi watu wa UDSM eti tunajifanya tunajua<akasahau kwamba anayejua anajua na hakuna kujifanya>, nilipompepeleleza zaidi nikaja kugundua aliangukia pua form 6, na lengo lake lilikuwa kusoma UDSM, mpaka muda huo alikuwa na bifu na NECTA.
heheheheee, sure. Kuna wengine wanaponda chuo kwa sababu binafsi.