Tuhuma za Mengi kwa jeshi la Polisi zilizimwaje?

unajua kwa nini walitaka kumlipua mengi?
Kilikua ni kipindi cha kampeni kwa siri mengi akiwa ni paymaster wa CDM na media zake zikiegemea cdm ilihitajika kizibiti mwendo kumcontain mengi issue ikavuja.
Mengi aliendelea kuegemea cdm akiamini kitashinda ni mpaka matokeo yalipotoka ndo akageuka na wakaizima issue

huu ni mtazamo wako tu-habari hii haina ukweli wowote

Tukiingia Madarakani lazima kesi hii iwe miongoni mwa nyingi tutakazozifungua.

Kama si kumpeleka Mengi mahakamani kwa kulichafua jeshi la Polisi, basi kuwaburuza Mapolisi waliohusika na Mpango huu haramu. Halafu inaonekana hawa Polisi wetu miongoni mwao wana azina ya madawa ya kulevya majumbani mwao na wanayatumia kubambika watu au wanafahamiana na wauza madawa ya kulevya ambao huwapatia pindi wanapoyahitaji ili kubambikiza watu kesi za uongo.

Je biashara ya Madawa ya kulevya Bongo itaisha kwa mwendo huu!

Ndg yangu mwana JFs Said Biashara ya Madawa ya kulevya sio rahisi kwisha, angalia mataifa makubwa duniani mfano US, Canada, UK etc jinsi wanavyojitahidi ktk kulitatua hilo tatizo but still yapo na yanaendelea kuwepo ktk nchi hizo.
Hawa wenzetu wanapapambana na wanaonyesha kukerwa na hilo tatizo.

Tatizo kwetu hapa Bongo kama ujuavyo Watu wapo ktk nafasi zao kupiga deals! no matter ni deal ya aina gani? they dont care, so mpaka hapo watakapochukua nchi labda zitakuwepo changamoto watu wafanye kazi n then hili tatizo la madawa ya kulevya litakuwa serious kutatuliwa japo kupunguza kasi yake maana kulimaliza co mchezo but pakiwa na nia inshallah tatizo litakuja isha cku za usoni......!

So kwa kipindi hiki kilichobaki ni kuomba dua la kheri waliokufa, kufanya maombi na kuwapa pole waathirika wote wa hayo madawa ya kulevya....!

tatizo kubwa kwa Tanzania Police Force Official ni kulinda maslahi yao hivyo kujikuta wanaingia katika mitego ya chambo kama huo.amini nawaambia wahalifu na matapeli wote wakubwa ndo marafiki wakuu wa viongozi wa ngazi za juu za polisi
Ni kweli tupu 100% nakubali.

nashanga wana jf na watanzania tuhuma kubwa kwa jeshi la polisi na maafisa wake waandamizi zilizotolewa na reginald mengi kuwa polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa kiasia waliandaa mpango wa kumbambikia mwanae madawa ya kulevya airport, na akawataja kwa majina akasema kama wanapinga waende mahakamani, nashangaa jambo hili linataka kupita kimyakimya!

Hivi hii nchi inaongozwa kwa nguvu za giza au? Tunaweza kweli kupuuzia tuhuma kubwa kiasi hiki?

Kama igp alishindwa kuchukua hatua anasubiri nini kwenye uongozi? Au naye hajui kujiuzulu na hana wa kumwajibisha? Hii ndiyo bongoland! Mambo yanayofanyika hapa hakuna nchi yeyote yanaweza kuvumiliwa!
chezea tycoon mengi nini?acha kabisaa

Kwa ishu za kubambikiana namna hii basi hata Babu Seya na kina Papii Kocha ndo hivi hivi.... hii familia inaniuma sana!!

Kipindi hicho walitaka wazushe tukio litakalo attract attention ya wabongo ili wasahau maumivu yao kwa maovu ya serikali!

Watanzania wenzangu mnaelekea mna uchungu sana na nchi hii- inatia moyo kuona bado wapo watanzania wanoamini kataika uzalendo na wasiogopa vitisho na victimization inayofanywa na serikali na vyombo vyake.

Napata shida kuona maswali haya yote yasiyo na majibu lakini badala ya kuyajibu uongozi wetu wa polisi wako busy na kutuhimiza tulinde pamoja "ulinzi shirikishi/polisi jamii" jamii ipi hii hii wanaoimaliza kwa madawa???

Naamini kutoaminiana kati ya raia na jeshi la polisi kungeshughulikiwa kwanza ndiyo tuongee mambo ya kushirikiana kwa ukweli(kutokako moyoni) tuache michezo kuigiza for once tuwe wakweli na dhamira zetu

Tukiingia Madarakani lazima kesi hii iwe miongoni mwa nyingi tutakazozifungua.

Kama si kumpeleka Mengi mahakamani kwa kulichafua jeshi la Polisi, basi kuwaburuza Mapolisi waliohusika na Mpango huu haramu. Halafu inaonekana hawa Polisi wetu miongoni mwao wana azina ya madawa ya kulevya majumbani mwao na wanayatumia kubambika watu au wanafahamiana na wauza madawa ya kulevya ambao huwapatia pindi wanapoyahitaji ili kubambikiza watu kesi za uongo.

Je biashara ya Madawa ya kulevya Bongo itaisha kwa mwendo huu!

unajua kwa nini walitaka kumlipua mengi?

Kilikua ni kipindi cha kampeni kwa siri mengi akiwa ni paymaster wa CDM na media zake zikiegemea cdm ilihitajika kizibiti mwendo kumcontain mengi issue ikavuja.

Mengi aliendelea kuegemea cdm akiamini kitashinda ni mpaka matokeo yalipotoka ndo akageuka na wakaizima issue
Elungata acha ubabaishaji, uchaguzi uliopita Mengi alisaliti wanamageuzi kupitia vyombo vyake vya habari hilo lako ni jipya labda unaweza kututhibitishia tu jambo gani muhimu alifanya kwa wanamageuzi ambalo laweza kuthibitika, taarifa nyingi za kampeni walizikalia au walipozitoa hazikupewa uzito kama za magamba, hata kwenye magazeti front page ilitawaliwa na picha za magamba

hakuna kitu kama hicho mengi kama kweli alikuwa na ushaihi alitakiwa akafungue kesi ya kubambikiwa au kula njama kumchachua mzushi tu na yeye,nzowa mbona bado yupo hapo hapo
Nashanga wana JF na waTanzania tuhuma kubwa kwa jeshi la Polisi na maafisa wake waandamizi zilizotolewa na Reginald Mengi kuwa Polisi kwa kushirikiana na wafanyabiashara wa Kiasia waliandaa mpango wa kumbambikia Mwanae madawa ya kulevya Airport, na akawataja kwa majina akasema kama wanapinga waende mahakamani, nashangaa jambo hili linataka kupita kimyakimya!

Hivi hii nchi inaongozwa kwa nguvu za giza au? Tunaweza kweli kupuuzia tuhuma kubwa kiasi hiki?

Kama IGP alishindwa kuchukua hatua anasubiri nini kwenye uongozi? Au naye hajui kujiuzulu na hana wa kumwajibisha? Hii ndiyo Bongoland! Mambo yanayofanyika hapa hakuna nchi yeyote yanaweza kuvumiliwa!

hakuna kitu kama hicho mengi kama kweli alikuwa na ushaihi alitakiwa akafungue kesi ya kubambikiwa au kula njama kumchachua mzushi tu na yeye,nzowa mbona bado yupo hapo hapo

Unalielewa kweli jambo hili au umerukia tu? Kwani Nzowa kuwa madarakani inamaanisha kuwa hakuhusika? Mengi alisema na ni tuhuma kwa jeshi la Polisi, kama haikuwa kweli jeshi la Polisi waekubali vipi kuchafuka mbele ya jamii na Serikali?
Je unakumbuka alivyowaambia aliowatuhumu? Kuwa kama siyo kweli waende mahakamani kulalamika. Je wamemfungulia kesi ya kuwasafisha hao aliowatuhumu?

Tukiingia Madarakani lazima kesi hii iwe miongoni mwa nyingi tutakazozifungua.

Kama si kumpeleka Mengi mahakamani kwa kulichafua jeshi la Polisi, basi kuwaburuza Mapolisi waliohusika na Mpango huu haramu. Halafu inaonekana hawa Polisi wetu miongoni mwao wana azina ya madawa ya kulevya majumbani mwao na wanayatumia kubambika watu au wanafahamiana na wauza madawa ya kulevya ambao huwapatia pindi wanapoyahitaji ili kubambikiza watu kesi za uongo.

Je biashara ya Madawa ya kulevya Bongo itaisha kwa mwendo huu!

Halafu eti huyu mbambikaji kesi ndiye mkuu wa kitengo. Tupambane dola ishikwe na chama kingine

Back
Top Bottom