Tuhuma nzito dhidi ya Head of procurement TRA bwana Sakinoi

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
833
18zz0l.jpg


stay tuned lakini kwa watu ambao mshadeal na TRA najua kwenu hili ni la kawaida na hata ukitaka ku supply peni basi huyu jamaa wa Kimasai lazima apate walau nusu shilingi 100 per pen ama sivyo tenda yako haifiki kokote kule

Nimeambiwa kutokana na uzito na unyeti wa tuhma zenyewe wanasheria wamekuwa contacted maana isije ikaja kuwa libel kesi dhidi ya poster na JF kwa ujumla
 
So contradictive when reading the heading, picture and the information. Mi naona tu huyo mzungu anakula popcorn
 
So contradictive when reading the heading, picture and the information. Mi naona tu huyo mzungu anakula popcorn

Hivi huyu sio yule jamaa wa kwenye Sainfield au Friends?

anyway inayoonekana kuwa mleta habari kama alivyosema anatafuta ushauri wa kisheria na wahusika

mimi naona kama ni moto mno bora aiache ili tuendelee na mipasho ya CHADEMA vs CCM
 
Mkuu kilevi unachotumia unakunywa au unavuta? Am curious because it must be very strong to disorrient you like this. Anyway am just disregarding this thread.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom