Tuhuma na mipango ya kuuawa kwa Mwakyembe ipo kwa IGP

haya bana napitia tu ahapa!!! hii kitu hii tuipe muda.... mtawatambua kwa matunda yake!!! ziache ngano na magugu zikue pamoja!!! ukifika wakati wamvuno ndo utajua ni lipi gugui au ni ipi ngano bora...

hatuwezi kusema sana kuhusi eti, eti tetesi.... mpaka lini, ukweli utajulikana tu na lazima wanaohusika watalipa...!!!
 
<strong><span style="color:#ff0000;"><span style="font-family: arial black;">Get well soon </span>Mwkyembe ila uwe na ushahidi na uliyo yaandika, yasije yakakuponza.<br></span></strong>
 
inakuwaje wauaji watumie magari ya serikali? Nimegundua sasa kuwa serikali yetu ndio muuaji wa watu wetu.
Huyu shehe anayetajwa si ndio yule ali provide ulinzi usio onekana?

Dah,
Yaani ndio unajua leo kua serikali ndio wauaji wa Raia??
Mi nlifikiri ulishajua toka Mauaji ya Imrani Kombe,
Kesi ya Zombe,
Mauaji ya Arusha Cdm walivyoandamana,
Mauaji migodini n.k.
Hiyo ni mbali na vifo venye utata kama cha Sokoine
 
Barua hii inatia huruma, lakini kwa kiasi kikubwa Mwakyembe na Sitta waliyataka wenyewe. Walikuwa na nafasi ya kulipua kila kitu na serikali ikaanguka; wao wangechaguliwa tena, hawakuitumia badala yake wakaamua kuilinda serikali.
Wakati fulani suala la EL kutaka kutakaswa bungeni lilivyojitokeza, Mwakyembe alinukuliwa akisema - hawa wanaotaka kumtakasa watasababisha tutaje yote na kwamba kuna tuliyoyaficha kwa kuhofia kuanguka kwa serikali yote. Hivyo alidhani akiwafichia siri zao nao watamlinda kumbe sivyo - wao wanataka kumuondoa. Anachotakiwa kufanya Mwakyembe kabla ya kifo chake, ni kuhakikisha hicho walichokificha kinajulikana na kuwekwa wazi.
Lakini Mwakyembe akifa katika mazingira ya utata kama hayo, sidhani kama kanda ya juu kusini watakaa kimya!
 
inatisha nchi ya kimafia sasa aliyeruhusu magari ya serikari yatumike na watumishi wanaolipwa mshahara kwa kodi zetu ni nani?
 
Wewe ni mchochezi tu, taarifa ya kamati ya Richmond ilijaa uzushi, uongo na kupakaziana kwa maslah yakisiasa na si kwa maskah ya taifa. Unahusishaje hali ya afya ya makyembe na muenendo wa bunge na siasa?!, kwa ujumla taarifa ile ilimuua kisiasa Mwakyembe ndo maana hata akiwashwa na maji machafu aliyoogea anadhani ni mahasimu wake aliowasingizia wamelipiza- namuombea apone mapema ili aje apate aibu kabla jogoo hajawika.
Barua hii inatia huruma, lakini kwa kiasi kikubwa Mwakyembe na Sitta waliyataka wenyewe. Walikuwa na nafasi ya kulipua kila kitu na serikali ikaanguka; wao wangechaguliwa tena, hawakuitumia badala yake wakaamua kuilinda serikali.
Wakati fulani suala la EL kutaka kutakaswa bungeni lilivyojitokeza, Mwakyembe alinukuliwa akisema - hawa wanaotaka kumtakasa watasababisha tutaje yote na kwamba kuna tuliyoyaficha kwa kuhofia kuanguka kwa serikali yote. Hivyo alidhani akiwafichia siri zao nao watamlinda kumbe sivyo - wao wanataka kumuondoa. Anachotakiwa kufanya Mwakyembe kabla ya kifo chake, ni kuhakikisha hicho walichokificha kinajulikana na kuwekwa wazi.
Lakini Mwakyembe akifa katika mazingira ya utata kama hayo, sidhani kama kanda ya juu kusini watakaa kimya!
 
acheni kuongea mambo ya kijiweni, jambo ka hulijui please nyamaza, taarifa ya mwakyembe alidanganya nini?sitta jana mwenyewe kasema kuna mambo hayakusemwa ni ya kutisha ila ilikuwa lazima iwe hivo kulinda maslahi ya taifa, busara lazima zitumike hata kama ni vp kwa maslahi ya wengi! hao unaowatetea ndo wametekeza nchi kwa kiasi kikubwa sana!ilikuwaje kama hii kampuni halali, kurasa iliyokuwa ianonesha wamiliki pale brela ilichanwa???bado mnahitaji degree kujua hili???haya mambo mazito!mwakyembe hadi kufikia hapa amepitia mambo mengi!sitta na wapambanaji wengine walionyimwa nguvu ya kuendelea kupambana kweli wamekumbana na mambo mengi!usione mtu anajifanya anatoa sadaka, kuchangia ujenzi wa makanisa ukahisi ni mtu!hao ni nyoka tena wenye sumu kali!!!!!!!!!!!!!!!!acheni post zenu za kianfki bwana!hii nchi haiwezi kujengwa na mchwa wale!!!!!!!!!
 
Ndugu yangu, hawaku na chakulipua. Walitumia fursa ya kamati kutimiza interest zao binafsi na kuweka maslahi ya watanzania nyuma, tazama: baada ya taarifa ya richmond mbunge mmoja alieleza jinzi kamati na baadhi ya wajumbe walivyokuwa wamekiuka kanuni za bunge, mbunge tajwa alikuwa Mwakyembe mwenyewe ambaye alishiriki ku-probe juu ya nishadi wakati yeye alikuwa na interest ktkower generation (powerpool), spika alimnyamanzisha mtoa hoja, vilevile mwakyembe aliulizwa na press juu ya yeye kukikuka kanuni ya bunge- alijibu kuwa huu ulikuwa wakati wa wazawa kufaidi maliasili.

Back
Top Bottom