Tuhuma dhidi ya JK zaikoroga CCM

THE ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) and the majority of Tanzanians will rally behind president Jakaya Kikwete and vote him into office for a second term in next year's national general elections because his performance as president has impressed so far.

His presidency has impressed according to who and who has he impressed? Makamba himself, CCM or the wananchi? He should make it clear.
 
His presidency has impressed according to who and who has he impressed? Makamba himself, CCM or the wananchi? He should make it clear.

In my opinion he is a confused guy...don't know anything about what he is talking in regards to Kikwete's perfomance.
 
In my opinion he is a confused guy...don't know anything about what he is talking in regards to Kikwete's perfomance.

Ni kisa cha mbwa na bwanake, period. Leo Kikwete akiamua kung'atuka, Makamba atakuwa wa kwanza kumsifia kwa uamuzi wake.
 
Jamani sasa Makamba amedhihirisha Ukombi wake,anavyojikomba kwa Kikwete leo kwenye TBC runinga akiongea na waandishi wa habari kujibu mashambulizi ya kina Qares amesema Kikwete ni maarufu kuliko CCM na anauzika ,hivi ni kweli?

Kama sikosei hao wana CCM waliwahi kutamka kuwa Chama ndio maarufu na sio mtu binafsi pale Dr Salmini alipotikisa kiberiti miaka ya nyuma pia Makamba amewaponda wasio nazo na kuwasifia matajiri kuwa ndio wanafanya chama kijiendesha ama kwa hakika nimeona sasa nambari wani wamewatupa mkono wale wananchi wa kawaida.

Makamba kakosa ubunifu wa kutafuta vyanzo vya mapato kwa chama chake ambacho kinahodhi miradi lukuki na kabaki kuwakumbatia matajiri ambao hufadhili huku akitegemea biashara zake hazitatozwa kodi ,atapata tenda za nguvu,kweli hao matajiri Makamba anauwezo wa kuwadhibiti pale wanapofanya madudu yao?

Si siri hao ndio wanaendesha nchi kwa jinsi wanavyotaka na ndio maana mzee Butiku amesema wafanyabiashara wamemfanya raisi wetu awe wao anashindwa kuwajibika kwa sababu wafanyabiashara wamemkamata anashindwa kujinasua, atajinasuaje wakati washauri wake ndio hao akina Makamba!!

Akina Kingunge ama kweli ndio maana Mwl Nyerere wakati mauti yanamkaribia alikaririwa akisema anasikitika kutuacha watanzania na atatuombea kwa Mungu.

Nani atajitoa muhanga kuwasaidia watanzania? Akina Warioba, Salim ni waoga ndio maana walikuwa wanataka mzee mwenzao Butiku asiseme yaliyojiri kwenye kikao cha kuwapitisha wagombea uraisi huko nyuma, wanaogopa ni wale wale, watu waoga hao wanaogopa kusema ili eti kulinda maslahi, sijui masilahi ya nini?
 
Usihangaike na makamba, anzavyozidi kuzeea ndo utoto unamnyemelea, hana tofauti na kingunge.
 
Nipo na tbc tv hapa;
  • Asema JK ni maarufu kuliko CCM
  • Wanaolalamika, Qares na Nkangaa walikuwa na wateule wao sana wanataka wamtose JK ili walete mgombea wao
  • Vyama vyote, CCM, CHADEMA na NCCR wana wanachama wafanyabiashara kwa hiyo wanahitaji wenye pesa maana wakiita maskini watapata kuku.

Sijui ndugu zetu wa kijijini wameipata hii? Kuku kwao ni kitu kikubwa kutoa halafu Makamba anadharau? Nani atafikisha ujumbe vijijini jamani na wao wafanye maamuzi kuwa sasa basi. Kuku zetu tunapeleka kwingine.
 
Sijui ndugu zetu wa kijijini wameipata hii? Kuku kwao ni kitu kikubwa kutoa halafu Makamba anadharau? Nani atafikisha ujumbe vijijini jamani na wao wafanye maamuzi kuwa sasa basi. Kuku zetu tunapeleka kwingine.


Hahaha ndiyo CCM hao bwana wanakutumia ukisha wavusha umeisha wanangojea tena mwaka mwingine . Ujumbe huu umesha someka vyema wacha tusikilizie sasa
 
Nipo na tbc tv hapa;
  • CCM wana wanachama wafanyabiashara kwa hiyo wanahitaji wenye pesa maana wakiita maskini watapata kuku.

Mhhh! No need for poor people to appy!...CCM ni Chama cha Wafanyabiashara mafisadi!
 
Makamba ni mcharuko tu, ukubwa wa chama na uwezo wake wa kufikiri ni vitu vinavyotia shaka, najua JK alimweka madarakani kwa malengo ya kuogopa misuguano kama angemteua mtu makini na ambaye angekua anauwezo wa kufikiri, na kutenda kisomi.

Makamba elimu yake rasmi isio na mashaka ni nasikia ni darasa la saba, tangu hapo amekua ndani ya jeshi kama mpika majungu tu, n nimajungu hayo yakampa cheo kufikia ukapteni, kichwani ni mweupe tu.

Muongoza chama katika nyakati hizi kweli zinataka mtu makini na sio mwimba mipasho kama makamba, tabwe hiza na John Komba ambao aliongozana nao kutoa tamko hili, hao watatu uwezo wao wakufikiri ni sawa na mtoto wa miaka TISA.

HAYA Kikwete hao ndo wateule wako.
 
Kuna topic kama hii jukwaa la siasa....naona hii ifungwe tuu au unganisha na ile nyingine!...ita make sense!
 
Nipo na tbc tv hapa;
  • Asema JK ni maarufu kuliko CCM

Mnh!? It is statistically possible. JK, was voted to power by 10,590,016 Tanzanians. CCM had approximately 3M members by then. But it is also possible that the membership figure has changed while the graph for his popularity might be descending towards x-axis as well
 
Hivi bila JK CCM yetu itakufa?
Somebody said simple minds discuss people
Great minds discuss ideas!
 
Aisifiaye mvua.... unadhani Makamba au ingekuwa wewe umeshika nafasi yake ungesema nini kuhusu mheshimiwa?
 
Makamba yale si maneno yake ila ya Tambwe na yule jamaa aliyetoka CUF vichwa hivyo vumeisha oza .
 
This man (makamba) has been worming that chair for sooo long. Sijui ni kwanini hawajapata mtu anayefaa kuwa na hicho cheo chake. He is basically doing nothing!!
 
Mnh!? It is statistically possible. JK, was voted to power by 10,590,016 Tanzanians. CCM had approximately 3M members by then. But it is also possible that the membership figure has changed while the graph for his popularity might be descending towards x-axis as well
Mhhh.. people can come up with statistics to verfy/prove any thing...!!
 
Mnh!? It is statistically possible. JK, was voted to power by 10,590,016 Tanzanians. CCM had approximately 3M members by then. But it is also possible that the membership figure has changed while the graph for his popularity might be descending towards x-axis as well
dnt you remember that at that time of election was an order that everyone on 18 has to be registered to vote?kama hukwenda kupiga kura basi imekula kwako,kura yako inaenda c.c.m hata kama si mwanachama,na ndio jibu la hiyo idadi kuzidi
 
Na Leon Bahati

1. watu wenye fikra kwamba CCM inaweza kumtosa mwenyekiti wake kwenye mbio za urais wakati wa uchaguzi mkuu wa mwakani, "ni wehu".

2. "Mtu mwenye akili nzuri hawezi kusema kwamba Rais Kikwete ameshindwa kutekeleza wajibu wake. Anayefikiria hivyo, ni mwehu," alisema Makamba alipotakiwa kutoa maoni yake kuhusu kauli hizo.



.


- Huyu masikini ya Mungu, haelewi kwamba haya maneno ni hatari sana kusemwa na kiongozi nafasi yake, haelewi kwamba kinachoendelea sasa hivi na hili taifa ni a very serious situation ambayo inahitaji umakini sana ku-deal nayo, yeye anachukulia kama mzaha wa Yanga na Simba, hajui kwamba tunakoelkea sio kuzuri,

- waku nina wasi wasi sana na kinachoendela sasa hivi, maana siamini kwamba hizi kelele za kina Quaresi zitaishia hivi hivi tu, I mean nina wasi wasi sana na amani ya taifa letu mbele ya safari! Huu ni wakati wa wazee wa taifa kuingilia kati kama wapo!

Respect.


FMEs!
 
Back
Top Bottom