Tuheshimiane

kwa mtaji huu ur msg haijawa derivered kwake, ila msikilizie uwezi jua yawezekana yuko serious na izo calls zake na ikawa ndo ulopangiwa na mola awe jamaa yako wa karibu aswa apo roho yako itakapo mdondokea pia
 
huwe serious na kutoa namba ya simu, hasa kwa jamaa wenye wake, waweza kuta mwenzio amezamilia kukufanya nyumba ndogo, ooooooooh
 
dadaa mshikaji atakuwa yuko serious na wewe, natmai ndo chaguo lako lakini ndo haujashtukia tu ilo dili, ni bahati iyo usiiachie
 
sijui ulikutana wapi na jamaa ingawa huwa kuna mazingira unalazimika kutoa namba bila kupenda ila kama ni mambo ya kimtandaoni usirudie.

Na ikitokea umetoa namba ya simu, basi ujiande kudeal na watu wajinga wajinga kama hao!! Kuwachana live tu, unapokea simu na kumshushia za mbavu. Mi watu wa hivi huwa hawanisumbui kabisa, na huwa hawachelewi kuniona kero kwao na kujiengua wao wenyewe mapema!!
 
Na huu ndio mkwala wa kipipi!
acha tuuweke kwenye faili la kumbukumbu
 
jf is never boring lol

duh............kavulana gani hako jamani?

mchana 'kanashindwa kuzungumza'
halafu usiku ndo 'kanaanza utundu?????

piga simu bure baada ya dakika ya tatu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi tigo kwenda tigo..
 
Na ikitokea umetoa namba ya simu, basi ujiande kudeal na watu wajinga wajinga kama hao!! Kuwachana live tu, unapokea simu na kumshushia za mbavu. Mi watu wa hivi huwa hawanisumbui kabisa, na huwa hawachelewi kuniona kero kwao na kujiengua wao wenyewe mapema!!

watu wanaosumbuliwa na simu huwa wanapenda. Unakuta mtu anapigiwa anapokea. Kitendo cha kupokea ina maana umeikubali ile call. Bado kwenye maongezi anaongea vizuri tu ila baadae ndio kujifanya hupendi. Kama hupendi kupigiwa ukipigiwa usipokee, ukipokea usiongee. Siku mbili tu unabaki huru.
 
pole sana ila mie nikiijua hiyo namba yako sintoweza kufanya hivyo,tutachonga ngenga mchana kutwa. Nalog off
 
Kama ndo hivi, basi inaogopesha. Unam-pm au unamtumia msg mtu next day inakuja kupestiwa hapa! Mnafanya mambo mko wawili kumbe mtu anapata siredi ya JF!
Bebii, ile msg niliokutumia jana usiiweka hapa, please please, chonde, chonde.
 
watu wanaosumbuliwa na simu huwa wanapenda. Unakuta mtu anapigiwa anapokea. Kitendo cha kupokea ina maana umeikubali ile call. Bado kwenye maongezi anaongea vizuri tu ila baadae ndio kujifanya hupendi. Kama hupendi kupigiwa ukipigiwa usipokee, ukipokea usiongee. Siku mbili tu unabaki huru.

Alafu kweli inakuwaje unaendekeza un-necessary contact na jinsia tofauti? Nakubaliana na wewe, kama mtu hupendi calls zake kwa nini uzientertain? Si umuadd tu kwenye black list, atachoka mwenyewe!!
 
Wewe tumefahamiana katika mazingira ya kistaarabu, tumezoeana kama binadamu wengine bila kuvuka mipaka, najua umeoa ila mimi hujui status yangu kama nimeolewa au niko single, kutokana na kwamba haikuhusu, sasa kinachokufanya unipigie simu saa 5 kasoro 7 usiku ni nini? wakati hata huo mchana huna la maana la kuniambia? Najuta kukupa namba yangu, kama matumizi yako ya simu ndo haya. Wanaume wengine mnakera sana

Mhhhh! Nani tena huyu asiyekukumbuka mchana wote ila hukukumbuka usiku wa manane!!! Dah!
 
Unajua,u just command with authority halafu mtu anapata msg bila chenga na mnakua marafiki. Men will always be men,na body language (rejea thread ya the boss) zinahusika. Unapigiwa,unapokea na sauti ya mlegezo na uinaentertain mazungumzo. Lazma atapiga. Na sijaelewa kitu, hutaki akupigie usiku kwa vile hana la maana la kukuambia hata mchana ama kwa vile ameoa?
 
Back
Top Bottom