Tuhakikishe Rostam Aziz Anafikishwa Mahakamani

NanyaroEDI

New Member
Jul 16, 2011
3
1
Kufuatia kujiuzulu ubunge kwa Rostam Aziz, ni wakati muafaka kuelekeza nguvu zetu kuhakikisha kwamba Rostam anafikishwa mahakamani ili akajibu tuhuma zinazomkabili za kuhujumu uchumi wa nchi yetu. Na ni lazima kuhakikisha kuwa kipindi hiki mkurugenzi wa mashitaka ya jinai (DPP) Eliezer Feleshi, haandai mashitaka dhidi ya Rostam kisanii kama alivyozoea.
 
Unavyoandika hapo jamaa yupo Sweden tayari, anaweza akazamia huko. Naona kaenda kupumzika
 
Wewe kuakikisha unamfikisha rostam mahakamani na nani?yaani wenzako wenye lengo hilo kwa back up ya nani?
 
Back
Top Bottom