Tuguswe na athari Hadi za tetemeko la aridhi mkoa ni Kagera.

SILVANUS NJENGA

Senior Member
Feb 8, 2012
174
12
Tanzania ni moja na Watanzania wote ni ndugu. Hivyo tunaimizwa kuendelea kuguswa na namna ileile na athari zilizowapata Watanzania wa mkoani Kagera.

Bhass kila mwenye kuguswa aunge mkono jitihada za Serikali kwa kuchangia chochote kwenye Akaunti ifuatayo:-

jina la Akaunti:- KAMATI YA MAAFA KAGERA

Namba ya Akaunti:- 0152225617300

Swift Code: CORUtztz

CRDB BANK, BUKOBA.

"Kutoa ni moyo si utajiri"
 

Attachments

  • 14265007_10154137040928303_3712756371117483334_n.jpg
    14265007_10154137040928303_3712756371117483334_n.jpg
    20.1 KB · Views: 62
Back
Top Bottom