Tugawane Samaki....

mheshimiwa wewe utakuwa mwalimu wa kiswahili nini...maana nimejaribu kuichangamsha serikali yangu ya ubongo ili nipate maana hapo juu nimekosa...hongera mheshimiwa.
 
Hahahahahahah ni thithi thithi heheheheh
Inanogajeee nimekumbuka hii....

Mwai wetu waoioi tumuenda umvhonee. ..
Lubega la mwana luaja. .. A eeeh luaja...
Alillilililiiiiii.... akuundaa eeh akuundaa. ...
Ni weetuu harikaa ni weetuu
Atoongaa eeeh Atoongaa. .....
Hii lugha natamani kumpa HUYU HAPA anaielewa VZR lakini naogopa moto kuwaka!
 
Hii lugha natamani kumpa HUYU HAPA anaielewa VZR lakini naogopa moto kuwaka!

Moto gani tena? Hata ukiwaka kama kuna baridi basi tutaota moto? Laah tutabandika sufuria tupike chakula tule, ukianza kufifia moto tunachoma mahindi heheheh
Funguka bana usigope mie ndo nimekuruhusu looh.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom