Tufurahi tuongeze siku za kuishi

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,655
Mwanamke zuzu alikuwa na mchumba wake zuzu kama yeye, lakini mwishowe uhusiano ulivunjika.
Sasa huyo jamaa alikuwa akimsumbua sana kumpigia na kumtumia sms na yule mwanamke kwa simu kila siku, mpaka huyu mwanamke akawa anachukia,mwisho akaamua abadilishe laini, alipotia laini ile mpya tu akamtumia sms yule jamaa kwa kumwambia

"sasa nishabadilisha namba hutonipata tena hasidi wewe"
nae yule jamaa zuzu akamjibu
"nitahakikisha naitafuta hio namba yako mpya, hata chini ya ardhi mpaka niipate."
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom