Pamoja mkubwa, pamoja tunaweza.Makala zangu ziko kwenye jukwaa la elimu zimeandikwa Mbinu za biashara kwa wale ambao hawajazisoma nawashauri wazisome haitakuwa vyema kupost makala zile zile.
CHARLES NAZI
Huyo mwenye kiwanja cha kwake, na mtaji wa shilingi milioni moja tayari ana mtaji mkubwa kuliko anavyofikiria. Tatizo lake anaona kwamba hizo milioni moja ni kidogo sana kwa hiyo hawezi kuanzisha hiyo biashara. Pia ana mawazo ya kwenda kukopa benki.
Mjasiliamari halisi huwa anaanza na mtaji sifuri na haendekezi mambo ya mikopo.
Hongera sana, hiki ndio kitu ambacho mie kinanishinda yaani kuiendeleza biashara iendelee siku zote (izalishe na iweze kutoa mtaji yenyewe ikisaidiwa kidogo na mshahara), kwakweli mmenitia moyo sana na hii thread.Am a farmer cum civil servant . Nafuga nguruwe kwa kwenda mbele, Kuku wa kienyeji, migomba ya kisasa etc. Then nimeajiriwa, nalipwa sh. 280,000 kwa mwezi mzima. Nikiuza mayai napata 300,000. Nikiuza Kitimoto moja tu kwa mwezi napata 200,000-300,000 kuendana na uzito.
Nikiuza kuku 50 tu kwa mwezi napata 200,000.00. Nyumbani nina mahindi gunia 5 , mchele , na maharage. Mama analima mboga mboga ,na midizi. So cost of foods kwangu ni negligible.
Nina watoto wawili wa primary school na madogo wawili relatives secondary ya private.
Ninaendesha pickup na starlet. Ila nina mpango wa kununua lililobora zaidi kifamilia.
Jumla minimum ni napata 700,000. mazimum 1,500,000.
Zile 280,000 nawalipa wafanyakazi wawili kila m2 140,000 na wako very happy. Shamba nilinunua eka moja u nusu miaka hiyooo na ndipo nimejenga ikulu yangu. Here I am . Mjasiriamali/ civil servant.
Ni kweli mie nimeenda jukwaa la elimu nimetafuta siioni, tusaidie ili tuisome kwanza tujue nini tunahitaji zaidi, mie bado nipo mikoani kwa muda.Mkuu babalao weka link hapa twende moja kwa moja huko!
Ubarikiwe!
You are right. You can read a book Rich Daddy Poor Daddy. Kinapatikana Novel Idea. Ni kizuri sana kwa kujifunza ujasiriamali.
I highly recommend the book Freedom VS Security by Robert kiyosaki
Makala zangu ziko kwenye jukwaa la elimu zimeandikwa Mbinu za biashara kwa wale ambao hawajazisoma nawashauri wazisome haitakuwa vyema kupost makala zile zile.
CHARLES NAZI
Mods naomba mtupatie link ama nielimisheni how can i search the topic
Asante mkuu;
Kinapatikana wapi?
Asante mkuu;
Kinapatikana wapi?
Shida yetu kubwa na lack of confidence na focus.
Am a farmer cum civil servant . Nafuga nguruwe kwa kwenda mbele, Kuku wa kienyeji, migomba ya kisasa etc. Then nimeajiriwa, nalipwa sh. 280,000 kwa mwezi mzima. Nikiuza mayai napata 300,000. Nikiuza Kitimoto moja tu kwa mwezi napata 200,000-300,000 kuendana na uzito.