Tufanye nini kupendeza?

My aim/advice is TO KEEP IT SIMPLE. . .ALWAYS. You can never go wrong with that.

Vitu usivyohitaji usitumie kisa tu kipo kwenye fashion au fulani katumia. Kuna mtu utakuta lashes kama msitu, rangi machoni,mdomoni na mashavuni kama 'disco light'. . .kucha utadhani halagi kwa mikono. Wakati bila hayo anapendeza zaidi kwasababu anakua halisi.

ha ha ha tena kama disco light.
 
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.

Hivi unaweza vipi kujiweka smart kiasi kwamba kila atakae kuona
hata kama hata sema ila ndani ya moyo wake aseme "wow".

Na ni vipi unaweza kujiremba ili usiwe kituko na kikwazo mbele
za wenzako?

Nimeona hii picha nimepata maswali mengi sana.

Sio kwa wadada peke yao,hata wakaka hua wanakosea sana tu.
Tupeane darasa.

431009_266961136707714_100001814907804_628062_1468005889_n.jpg

27.jpg

huyo wa kwanza kanivutia hata mi huwa napaka hivyo
 
picha ya kwanza imepigwa mitaa ya kemondo-bay kwa akina KOKU nini teh teh teh
 
huyo wa kwanza kanivutia hata mi huwa napaka hivyo

Huyo bado hajamaliza kuvaa maguo yake... Ni clown huyo... Hapo bado makofia makubwa na fimbo.. Yaani kama Joker kwenye karata linavyochorwa!

Kwa hiyo hapo anamalizia aende fete....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom