Tufanye nini kupendeza?

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.

Hivi unaweza vipi kujiweka smart kiasi kwamba kila atakae kuona
hata kama hata sema ila ndani ya moyo wake aseme "wow".

Na ni vipi unaweza kujiremba ili usiwe kituko na kikwazo mbele
za wenzako?

Nimeona hii picha nimepata maswali mengi sana.

Sio kwa wadada peke yao,hata wakaka hua wanakosea sana tu.
Tupeane darasa.

431009_266961136707714_100001814907804_628062_1468005889_n.jpg

27.jpg
 
My aim/advice is TO KEEP IT SIMPLE. . .ALWAYS. You can never go wrong with that.

Vitu usivyohitaji usitumie kisa tu kipo kwenye fashion au fulani katumia. Kuna mtu utakuta lashes kama msitu, rangi machoni,mdomoni na mashavuni kama 'disco light'. . .kucha utadhani halagi kwa mikono. Wakati bila hayo anapendeza zaidi kwasababu anakua halisi.
 
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.

Hivi unaweza vipi kujiweka smart kiasi kwamba kila atakae kuona
hata kama hata sema ila ndani ya moyo wake aseme "wow".

Na ni vipi unaweza kujiremba ili usiwe kituko na kikwazo mbele
za wenzako?

Nimeona hii picha nimepata maswali mengi sana.

Sio kwa wadada peke yao,hata wakaka hua wanakosea sana tu.
Tupeane darasa.

431009_266961136707714_100001814907804_628062_1468005889_n.jpg
Toobaaaaaaaaaaaa!!!
 
Eh?
come again.

She looks like that coloured arch sometimes seen in the sky opposite the sun when rain is falling.
This is what happens when women try to look extraordinarily beautiful but instead they end up looking extraordinarily out of space creatures.
 
hahahaha,gorgeous.
Ila ana tumia alivyo navyo kwa sasa,...akipata uwezo wa kwenda zaidi
ya hapo ata pendeza zaidi.
 
Hiyo picha huyo bidada kajiremba tayari kwa mtoko kweli?

Au ni clown,anajiandaa kwenda kwenye fete..
 
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.

Hivi unaweza vipi kujiweka smart kiasi kwamba kila atakae kuona
hata kama hata sema ila ndani ya moyo wake aseme "wow".

Na ni vipi unaweza kujiremba ili usiwe kituko na kikwazo mbele
za wenzako?

Nimeona hii picha nimepata maswali mengi sana.

Sio kwa wadada peke yao,hata wakaka hua wanakosea sana tu.
Tupeane darasa.

431009_266961136707714_100001814907804_628062_1468005889_n.jpg

mie sidhan kama mtu hujiremba ili kuonekana kwa watu isipokuwa
yeye mwenyewe.
 
Wacha weee.
Ko una jiremba ili ujione mwenyewe ati?
Mbona jana ume niuliza kama umependeza ndo utoke haha.
 
tatizo wanawake wengi ni watu wa kudandia dandia stlye, kisa nick minaji kavaa wigi, basi na yeye anataka avae kama nick minaj ukimwambia hujapendeza anakwambia haya mawigi ndio yapo kwenye fashion, khaa, sasa hujapendeza ila tu kwa sababu ni fashion basi wavaa..khe jamani wenzenu huko wana watu wao wa mitindo havai kama hajapata ushauri, wewe huku unakurupuka tu kisa mama obama kasuka twende kilioni basi na wewe wasuka wakati kichwa chako kama changu hapa kona kila mahali...
 
Back
Top Bottom