tufanye kazi kwa bidii

ELISHA PIUS YOHANA

New Member
Jul 13, 2016
1
0
hivi watanzania tunataka nn? maana kila anchofanya rais wetu watu wanasema anakosea
ni lazima tujue kwanza tunachotaka nini
 

Attachments

  • 004.jpg
    004.jpg
    14.3 KB · Views: 35
Ukipewa kazi ya kuchunga mbuzi 100 na kuongoza watu wawili ili uchague mojawapo;haraka sana chagua kuchunga mbuzi.Kuongoza watu ni kazi ngumu ngumu mno.Nawashangaa wanaokimbilia uongozi,sijui kama wanajua madhara yake.
Rais JPM,avumilie tu.Ana kazi ngumu ya kulikarabati basi bovu lililotelekezwa kwa miaka 30.Ndani ya basi abiria wengi ni wagonjwa,nao watibiwe sanjari,halikadhalika barabara ni mbovu.Yote matatu kwa wakati mmoja.Ana kazi ngumu lakini wengi hawajui.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom