Tufanye jee kurudisha hadhi ya kiume?

tatizo sio vyakula au kuwa na mwili mkubwa, hapo ndo wengi tunakosea. si mpaka umwingilie mwanamke Mara 5 ndo anaejoi... trust me guys, unaweza ata usimwingilie mwanamke then akawa satisfied mo thn ambavyo mngefanya Mara 10.

sababu ya wanaume kushidwa kuwa satisfy grls inatokana na most of boys washindwa kuwaandaa wapenzi wao, for what i kno, before ujamwingilia mwanamke inatakiwa awe amekutangulia mo thn three tymz ata the moment unamwingilia ata ukisema usipate bao she will be happy and trust me, kesho atakuja anataka tena.

mapenzi sio mashindano eti umpandie mwenzio Mara 7 ndo ujione kidume, na unaweza panda ata Mara kumi na hakuna ilichofanya. just be creative and make sure unajua mapenzi wako anataka nini...

NB: uwezi kufanya mapenzi na msichana wa mtaani thn ukapiga ata bao 2, most of the tym ukipata kamoja shida yako inakua imeisha na unajuta ata kwanini ulifanya, tafuta mtu unayempenda, tulia nae then utanambia. ndo mawazo yangu yameishia hapo.

Mzee kwenye performance hata ukifanya maandalizi kama ya Brazil inavyojiandaa na kombe la dunia,kama mwili wako upo unfit kutokana na unhealthy eating habits,performance na satisfaction lazima iwe low.

Ni heri msisitizo utiliwe kwenye masuala yote mawili. Yaani healthy eating and living na foreplay ya kutosha.
 
Hata wakiwa kitandani kama bado wanalala pamoja.

Waweza lala na mtu kitanda kimoja hata salam msipeane.

Hata hivyo wengi wanaokula hovyo hovyo ni walevi pia, sasa sijui unamwambia vipi mtu aliyerudi saa sita za usiku mwenyewe ushajichokea zako na yeye ananuka mipombe yake "jamani baba nanii/mpenzi unahitaji mazoezi!!"
Si wanakaa wote?
Halafu miiili sio tatizo,shida ni kwamba huyo mwanamke ni wangu so hata asipotosheka hakuna aibu ila kwa fikra zangu perfomance ya walioko kwenye ndoa wengi wao ni Low ukilinganisha na wanaokutana wakiwa si wanandoa...namaanisha nyumba ndogo utakuta perfomance iko juu balaa lakini kwa mke inashuka ingawa pia kuna sababu kadhaa za status ya mahusiano yao.

Hiyo inatokana na watu kujiachia , kuchokana na kutotiliana tena maanani. Yani mkishaanza kufanya hilo tendo kama 'jukumu' hamna atakaejishughulisha sana. Mnakua wale wa "embu amalize, ngoja nimalize fasta" badala ya kufikiria kufurahishana na kuridhishana.
 
mimi naona huu ni uzembe wa mtu mwenyewe na ndo maana magonjwa siku hizi yameongezeka sana. Pia kuna ulimbukeni wa mtu, hivi unakuta mtu anenda kununua nyama supermarket kweli ni sawa hii??? mtu ananunua miozo ya chakula supermaket cjui kuku au beef na hajui imekaa mda gani pale???au ni ili kuonekana umenunua vitu supermarket na wewe?? tuache ushamba na tubadilike, bucha mbona nyingi sana???au si uende sokoni ununue kuku wakuchinjie pale ukiona???kwanini watu hawajipendi jamani???
 
Kweli wanaume wengi wa siku hizi wametuna tuna ovyo..kutwa nyamaz, beer na kwenye magari hata jogging hawawezi. Matumbo makubwaa!
Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.
 
Nimefanya utafiti kuhusu wanawake wengi kwende inje ya mahusiano/ ku cheat waume zao ni kagundua kwamba sababu kubwa ni kukosa sexual satisfaction ingawaje hua hawasemi, lakini hilo ni tatizo kubwa kwa wanaume wa leo na nadhani inatokana zaidi na aina ya vyakula ambavyo tuna kula.

Mtu kashindia chips mayai siku nzima akitoka kazin ana shushia beer nne akifika home ubwabwa maharage na baada ya hapo the big game inaanza round mbili tu hoi bin taban. Wakati mwanamke ndo kwanza anaanza kuwa stimulated at times wengine wana ejaculate bila mwanamke kujua anashanga tu jaama kanywea na kuulizwa umemaliza na bila aibu na jama anajibu ndio.

Wakati babu zetu wlikuaga bala kweli kweli kutokana na vyakula ulivyokua wanakula (mfano fresh fruits kwa wingi bila preservatives kutoka kwenye miiti direct) sasa wenzagu tufanye jee kurudisha Hadhi ya kiume?

Pia naomba mwenye uelewa zaidi atuahinishie vyakula specifically vya kula illi turudishe hadhi ya kiume Karibuni tujadili

Binafsi nasisitiza lishe iwe nzuri na ya mpangilio maalum !!!
 
he he he, afu ujue wanamme wakinenepa sana silaha zinakonda.
Wee angalia wanamme wenye masaburi makubwa.

Pole zao, mie sila siku uwanja wa mazoezi.
 
kwa wanaohitaji mafuta ya kupunguza strech marks ntawapa
hakuna kitu inaboa kama mwanamme ana strech mark.

Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.
 
Wanaume bana!! Kila siku mnatupigia kelele mkijisifu na hiyo supu ya pweza, au na yenyewe ishakuwa sugu mwishowe??
 
Kula vyakula vya asili na mazoezi kwa wanaume ni silaha lakini vipi mama ambaye hatoi ushirikiano kwa mume wakati wa tendo? Eti unahangaika kumridhisha akifika safari yake basi unaachwa njiani,binafsi huwa najisikia rijali pale mama anapofika kileleni kabla sijashusha mzigo ila wamama wanakuwaga wagumu kutoa ushirikiano,utaambiwa nimechokaa bwana! Huu nao ni uzembe wa kina mama ndiyo maana wababa wanachomokaga kutafuta cha upepo ili warizishwe.
 
Mmeishiwa nguvu za kiume mkienda kwa wake zenu mnapiga kimoja cha sekunde kumi kwa nyumbandogo mnajitahidi mpka bao nne
 
tatizo sio vyakula au kuwa na mwili mkubwa, hapo ndo wengi tunakosea. si mpaka umwingilie mwanamke Mara 5 ndo anaejoi... trust me guys, unaweza ata usimwingilie mwanamke then akawa satisfied mo thn ambavyo mngefanya Mara 10.

sababu ya wanaume kushidwa kuwa satisfy grls inatokana na most of boys washindwa kuwaandaa wapenzi wao, for what i kno, before ujamwingilia mwanamke inatakiwa awe amekutangulia mo thn three tymz ata the moment unamwingilia ata ukisema usipate bao she will be happy and trust me, kesho atakuja anataka tena.

mapenzi sio mashindano eti umpandie mwenzio Mara 7 ndo ujione kidume, na unaweza panda ata Mara kumi na hakuna ilichofanya. just be creative and make sure unajua mapenzi wako anataka nini...

NB: uwezi kufanya mapenzi na msichana wa mtaani thn ukapiga ata bao 2, most of the tym ukipata kamoja shida yako inakua imeisha na unajuta ata kwanini ulifanya, tafuta mtu unayempenda, tulia nae then utanambia. ndo mawazo yangu yameishia hapo.

Hivo hivo...!
 
Pole sana inaonekana mumeo ana bonge la tambi mkurupue siku mojamoja awe ankimbiza upepo
Huyo mume anarudi saa ngapi nyumbani, akitoka job anapitia kuonana na washkaji kwenye vijiwe vyenu akitoka hapo jajishibia minyama na biaz. Anafika nyumbani ni kukoroma, ameamka asubuhi kawahi kazini. Weekends ndiyo usiseme mipira na washkaji kwenye ratiba hawakosekani..Eeew ile miili ya wanaume wa siku hizi inakera!
Halafu huwezi kufanya mazoezi kama huzingatii unachokula. ni kazi bure!
 
mtu ana kitambi kikubwa tu halaf ni kijana...jamani wananikera sana,pia kula ovyo michemsho,noa na bia....mazoezi hakuna,unategemea nini??hata kukimbia inakushinda mwanaume????

kama angetile osiah wa tff, tumbo hiiilo, eti kiongozi wa michezo. Sasa amelazwa hospitali, presha juu.
 
Kabisa kabisa hata mimi niliwahi kuwa hivyo lakini nimepiga jogging sasa niko fit.

Umeona tofauti eeh, hata pumzi utakuwa unavuta vizuri sasa..ofcourse na performance nzuri:))

Pole sana inaonekana mumeo ana bonge la tambi mkurupue siku mojamoja awe ankimbiza upepo

Mume bonge bonge wa mifuta hataishi vizuri kwenye mji wetu..nitampigisha zoezi achanganyikiwe! subiri nimpate
 
Sasa wewe ulijuaje kwamba mabonge hawawezi kushughulika wakati ujawahi kuwa na bonge au unasikiliza habari za kuambiwa@belinda
 
Sasa wewe ulijuaje kwamba mabonge hawawezi kushughulika wakati ujawahi kuwa na bonge au unasikiliza habari za kuambiwa@belinda

Nawaona wengi mitaani walivyo bonye bonye pia storiz na watu wa karibu walioolewa..inaelekea na wewe ni mmoja ya wanaume mibonge, hebu zingatia afya na shughuli uiweze ili mamsapu akufurahie uaname wako.
 
Back
Top Bottom