TUFANYE HIVI MECHI ZIJAZO

medsebapol

JF-Expert Member
Jul 16, 2015
327
225
USHAURI WANGU KATIKA MECHI ZA KIMATAIFA WAGENI WAKIWA WANAKUJA BONGO

"Waarabu na wengine wakija tuwashushie Kigoma airport. Tia kwenye basi hadi Kahama, Nzega, Singida, kula kushoto Babati tokea Arusha, Moshi. Ingia Mombo, Korogwe hadi Msata. Zama Bagamoyo, Tegeta mpaka Mwenge, Makumbusho mpaka Posta. Vusha Kigamboni, Kongowe, Tandika tukifika Buza kula kushoto hadi Jeti. Zama mpaka Kinyelezi, tunaenda kuwalaza Mbezi Malamba mawili. Kisha tunawaambia kwakuwa Serikali inahamia Dodoma basi na mechi pia imehamishiwa katika uwanja wa jamhuri Dodoma"

HALAFU TUONE KAMA KWELI WATATOKA.




 
ahhahaa watu wana gps na ramani huko kote hawajastuia mcchezo tu?

cha msingi timu ijipangetu hakuna namna
 
ahhahaa watu wana gps na ramani huko kote hawajastuia mcchezo tu?

cha msingi timu ijipangetu hakuna namna
Tunawapa makavu kwamba international airports zote zinafanyia makarabat
 
Nadhani kuna limit ya umbali(km) kumsafirisha mgeni..Kwa mujibu wa kanuni/taratibu za CAF........Yote kwa yote,sisi ni ''amateur'' kwenye ulimwengu wa fitna..
 
Back
Top Bottom