Tufanyaje tuwe na TV channel ILIYOHURU??? Tunahitaji sana hili.

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Kulingana na uwepo wa mahitaji makubwa ya kuongea mambo ya msingi yahusiyo taifa letu kwa uhuru bila kufungamana na upande wowote tunahitaji TV channel iliyohuru yenye kutupa nafasi yakuyaongea kwa kina yale yote tunayoyahitaji kuhusu taifa letu bila kusahu tuweze kuwa na uwezo wa kuwaajiri waandishi wasio fungamana na upande wowote.
au mnasemaje wadau? Naomba kuwakilisha.
 
Back
Top Bottom