Echolima
JF-Expert Member
- Oct 28, 2007
- 3,826
- 2,057
Mzee Said Mohammed
Nakuomba mzee wangu uendelee kuwa mvumilivu wakati unatoa darasa humu. Kwa sababu Sifa kubwa ya watu humu ni ubishi na kutotaka kusoma au kujifunza hata unapowapa reference wakasome, huo ni ugonjwa wa waTanzania wengi.
Kwa hiyo unajadiliana na mtu ambaye ameshaamua kuwa mbishi tu hapo kunakuwa na changamoto nyingi sana. Ndio maana wengine wanasema "mdini" wengine "mchochezi" etc.
Lakini Mungu akupe uvumilivu mzee wangu.
Mungu hawezi kumpa uvumilivu Mdini kama huyu,Huyu anastahili kulaaniwa tu kutokana na Uchochezi wake wa kidini.