Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
- Thread starter
- #21
.......
Sammary: Kwa hiyo ndugu zangu katika Three G (3G) Teknolojia inayotumika ni CDMA kwa Hiyo its Miss leading kusema kwamba Vodacom hawana CDMA.
Aksante sana kwa kudadavua hizi teknolojia na misamiati hii. Swali langu ukisema Teknolojia inayotumika kwenye 3G ni CDMA. Mbona ukisoma soma inaoenekana kwenye GSM teknoloia zinazotumika ni TDMA na FDMA. kwamba Cell (Mnara) moja na myingine frequecy resuse inawezekana kwa kutumia FDMA na watumiaji wa simu ni TDMA.
- Una maanaisha Voda wanatumia CDMA kwenye Voice pia au wanatumia CDMA kwenye Data/internet tu kama alivyoeleza mtaalam mmoja hapo juu?
- Una maanisha GSM vinaweza kusafirisha na kupokea datakatika format ya CDMA?
- Pia katika kusoma nimeonakuwa CDMA inahodhiwa na kampuni ya mrekani Qualcom. kutengenza kifaa kinachotumia teknolojia hiyo lazima hao jama walipwe tofauti na kutengeza kifaa kinachotumia TDMA au FDMA. Je nimeelewa au