Elections 2010 Tuelezwe juu ya afya ya Rais Kikwete!

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Haya wadau, kama mjuavyo, ile mada ya Kikwete kuanguka imefungwa.

Sasa hii mpya nimeifungua ili tuendeleze libeneke.

Watanzania tunataka tuambiwe ukweli kuhusu afya ya amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi yetu. Kumbukeni kuwa mficha uchi hazai (au hapati raha ya mapenzi).

Baada ya kuanguka, tunataka madaktari watufahamishe zaidi juu ya afya ya rais wetu.
 
Yeah, hatuachi kulijadili hili hadi tuambiwe ukweli kuhusu afya ya Jemadari Mkuu wa majeshi wetu!
 
Jamani afya muhimu hatutaki kurudia uchaguzi!

Mkuu, pia kwanini tuongozwe na kiongozi mgonjwa? kwa vile Mungu katufunulia mapema kutuonyesha kabla hatujamsimika, kwamba hapa kuna shida, basi tumshurkuru Mungu wetu na kutimiza wajibu wetu kwenye sanduku la kura hapo 31 october, si hilo tu, lakini pia kila mtu atoe muda wake siku hiyo kuisimamia kura yake kuhakikisha haki inatendeka.

Hata waje FFU naamini nguvu ya umma itashinda. Yaani tukiwaona wanakuja na mabox yaliyo jazwa kura za kuchakachuchua tuwatimue nayo!

Lakini pia enyi FFU na nyie usalama wa Taifa mnao tumiwa kuiba kura. kuweni wazalendo na mumuogope Mungu wenu, msikubali kutumika kutenda uovu huo, wacha haki ya raia ya kumchagua kiongozi wanaye mtaka isimame!
 
Kule uarabuni bush alipopolewa kiatu na mwandishi wa habari na vyombo vya habari aka TV zilionesha tukio hilo kwa zaidi ya wiki mbili lakini kwa watz kuonesha tukio la kuanguka kwa rais wao inakuwa nongwa.......kweli miafrica tumeishiwa yaani afya ya rais inakuwa siri wakati katiba inamtaka rais awe ni mtu mwenye afya imara na si km kikwete?!
 
Ninashauri kuwatendea CCM haki haya mapungufu ya kutojua eneo kwani JK amendea maeneo mengi kanda ya ziwa sasa hili ni lipi na ni lini. Maswali haya hayakujibiwa humu hivyo ni vyema ikaondolewa namhusika ajipange upya ila ajulishwe

Tatizo langu taarifa ya madaktari itafuata lini?
 
:decision:JF mna mambo!!!!:decision::decision::decision::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Kikwete angekuwa fiti yaani mwenye afya mathubuti asingekaimu kazi ya kumfanyia kampeni kwa mkewe na mwanae; huyu bwana ni mgonjwa period!!
 
Sasa mambo gani tena haya ya kutoa video na picha za Kikwete akianguka?

Hii JF bana muda mwingine inatia hasira hadi basi ......btw, i still love you mods
 
Haya wadau, kama mjuavyo, ile mada ya Kikwete kuanguka imefungwa.

Sasa hii mpya nimeifungua ili tuendeleze libeneke.

Watanzania tunataka tuambiwe ukweli kuhusu afya ya amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi yetu. Kumbukeni kuwa mficha uchi hazai (au hapati raha ya mapenzi).

Baada ya kuanguka, tunataka madaktari watufahamishe zaidi juu ya afya ya rais wetu.

Na hii nitaifunga sasa hivi.
 
Sioni mantiki ya hii thread tena. Tulishajadili haya mambo kwa muda mrefu sana, na mengi tutakayoandika hapa ni marudio tu. Nakumbuka kwenye ile thread ya kwanza ya kuanguka Jangwani michango ilikuwa zaidi ya 500 na hakuna jipya lililoibuliwa zaidi ya hoja hizi hizi za mgonjwa, hatumtaki, wengine tunataka nk. Sioni umhimu wa kuuendeleza sana huu mjadala ilihali hatuna uwezo wa kubadili chochote.
 
Mkuu hii thread ni muhimu, JF is not static, inakua kila siku inapata new members, watapenda kujua mambo kama haya, lakini pia ikiendelea kuwepo watu tunazidi fumbuka kwani haingii akilini tuongozwe na raisi mgonjwa anye dondoka ovyo ovyo, ili hali watu wengine wenye uwezo huo wapo! No wonder sometime anakuwa na kauli za kuduwaza jamii usikute ugonjwa huu umemeathiri hadi uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo!

Inabidi tumsaidie kumpumzisha kwa kutompa kura zetu. Tumpe Slaa ili Jk apate kujiuguzia afya yake!
 
Rais ni kielelezo cha

  1. uwezo wa kuongoza ndani ya mtu,
  2. afya bora na kumaitain afya ya familia yake.
  3. ukakamavu na uimara wa kuvumilia changamoto kwa matatuzi yenye busara.
  4. uzalendo, uwazi na ukweli
  5. utu, kujituma na kujitolea.
Lakini sioni yote hayo kwa rais wa sasa.
Kama suala la afya yake ni tete na siri kubwa basi tuwaache wafanye siri lakini atapata kura za familia na madaktari wake tu! kura zetu zinaenda kwa rais mwenye sifa nilizozitaja
 
Hebu tujikumbushe yaliyojiri siku hiyo

Last edited by a moderator:
Jamani Kikwete anakifafa! na hili liko wazi mbona Dr wa raisi haongelei hili ama mpaka Msomali aruhusu?
 
Na tufungue tena ya kimada Josephine. Ni lazima tujue maadili ya kiongozi anayeitwa "RAIS", hata kama hao wanajidai kuwa ni viongozi wa dini watakataa kuyazungumza ya binafsi!
 
Back
Top Bottom