Tuelezane.....

I have fallen into that trap 100 times and I just cant trust anything now! I'm a pro chuchu and a perfectly modeled average ass. Anything less than that the switch is off! I just cant! I have hurt many, and they have hurt me!
 
Lizzy,

Hapo kuna mambo mawili (kwa maoni yangu).

1. Mwanamke ajaribu sana kuusikiliza moyo wake na kuutendea haki. Akiwatumikia mabwana wengine zaidi ya yeye mwenyewe mwisho wake atajuta tu....Believe me ndugu zangu!!

Kwa hiyo kuvaa hayo mavitu kama wasaidizi kwangu si hoja ya kuu bali kama mhusika anaridhika nayo na kuyafurahia ili asijepoteza komfo bure.

2. Ila kuna umuhimu wa kuwapa kipaumbele wadau wenu. Tuliwahi kujadili sana hili suala..kwamba mwanamke anavaa kujiridhisha yeye au mdau wake? Mnaweza kuipata hiyo link na kujisomea.

Kama ilivyo biashara nyingine kwamba huwezi kufanikiwa bila kuweka interests na tastes za wateja wako mbele...hata kwenye mahusiano hili suala ni muhimu.

A word of caution....Hili linawahusu wote...(ME na KE) kwa hiyo si suala la nyie peke yenu. Mimi nilishajipatia asilimia kubwa tu kwenye shopping list na lazima bibi ajitahidi kutozishusha. Pia nami namtunzia zake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom