Tueleweshe kama unaelewa.

Kuna mchezo nasikia unaitwa streeppoker unachezwa vipi?

Nahisi unamaanisha, strip-poker.huu ni mchezo wa karata kawaida huwa kama kamali ukishindwa umeliwa,lakini hii 'strip poker' baada ya kupoteza pesa unapoteza viwalo,kila round unayoshindwa inabidi uvue nguo unaanzia shati, unaweza ukjikuta umebaki na chupi au uchi kabisa.mara nyingi huchezwa marafiki au watu wanaojuana sana au ambao wanataka kunyegeshana!
 
Back
Top Bottom