Tueleweshana siri za Namba!

Sawa kabisa.Lakini wewe ulicho tuambia ni observation yako kuhusu three consecutive numbers.Sasa tupe siri ya namba hizo kama kichwa cha thread yako kinavyo sema.Nikuongoze kidogo.Mara nyingi tumedhani kwamba numbers are only physical items,lakini ukweli ni kwamba they also have a spiritial significance.In fact they are more spritual than physical.For example 3,8,11,33,666,13,21,7 etc.Now why those.
Vizuri sana!Kwa kawaida kila kitu lazima kigawiwe kwa mbili au moja ima kibakie au kimalizike.Na ndipo huanza kujua hizo siri. Mimi napenda sana hisabu za kutoa kuliko zinginezo!.Ukifuatilia namba ulizoziweka hapo...ni dhahiri zimejaa siri nyingi zilizopo duniani.
 
namba zote zinazofanana mfano
11X11= 121
111X111=12321
1111X1111=123454321
HESABU DIGIT ZIKO NGAPI, hiyo DIGIT WEKA KATI kisha kulia punguza moja moja hadi moja yenyewe, kushoto vivyo hivyo. weka hadi tarakimu 9
 
sahihisha hapo kwenye <BR>1111X1111= Digits ziko nne then itakuwa 123<SPAN style="COLOR: #ff0000">4</SPAN>321<BR>&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;&nbsp;
 
Du! No wonder why nilikimbia maths...! Namba zimekaa kimaajabu ajabu sana...narudi asa hivi
 
Sawa kabisa.Lakini wewe ulicho tuambia ni observation yako kuhusu three consecutive numbers.Sasa tupe siri ya namba hizo kama kichwa cha thread yako kinavyo sema.Nikuongoze kidogo.Mara nyingi tumedhani kwamba numbers are only physical items,lakini ukweli ni kwamba they also have a spiritial significance.In fact they are more spritual than physical.For example 3,8,11,33,666,13,21,7 etc.Now why those.
Naanzia hii namba 7.Mtoto anapozaliwa huanza mabadiko siku 7.Sayari zipo 7.Tuendelee kwa hii namba 7:
 
Naanzia hii namba 7.Mtoto anapozaliwa huanza mabadiko siku 7.Sayari zipo 7.Tuendelee kwa hii namba 7:

hapo kwenye sayari zipo saba ninapata shida kidogo, labda ungesema sayari unazozijua wewe zina idadi hiyo
 
namba 7 ina maajabu sana.
Mtoto akizaliwa miezi 7 anaishi lakini akizaliwa miezi minane hawezi ishi ila ni nadra sana kuishi...na hapa ipo ajabu ya mtume Isa a.s(Yesu). Pia akitimiza miezi tisa na kuendelea mtoto anazaliwa salama tu!.
 
Kuna wafanyakazi watatu walikua na njaa walipomaliza kazi yao walilala usingizi. Kisha wakaletewa maandazi na mtumishi...akawakuta wamelala usingizi..yule mtumishi akawaachia hapo...akaendazake.
Mfanyakazi mmoja alipoamka akachukua sinia ya maandazi akala akabakisha maandazi kwa idadi ya wafanyakazi wawili...akarejea kulala.
Mfanyakazi mwingine wa pili akashtuka akakuta sinia ya maandazi akajua yeye ndie wa kwanza kuamka...nae akala maandazi akawabakishia wenzie wawili. Akaendelea kulala.
Mfanyakazi wa tatu nae akaamka akakuta sinia la maandazi akala idadi yake...nae akajua yeye ndie wa kwanza...akawabakishia wenzie.
Walipoamka wote wakakuta maandazi yamebakia...ndipo wakaambiana yaliotokea.
Je ni maandazi mangapi yalioletwa na mtumishi?
Tupeane majibu!
 
humu wamejaa wenye mambo hayo kaka!
Wenyewe wataingia sasa ivi.
Zasaratsra & kisute nao wengine!
 


Three is a magic number

Ya it is, it's a magic number
Somewhere in that ancient mystic trinity
You'll get three
As a magic number
The past, the present, the future,
Faith, and hope, and charity,
The heart, the brain, the body,
Will give you three,
It's a magic number

It takes three legs to make a tripod or to make a table stand,
And it takes three wheels to make a vehicle called a tricycle
And every triangle has three corners,
Every triangle has three sides,
No more, no less,
You don't have to guess
That it's three
Can't you see?
It's a magic number

A man and a woman had a little baby
Yeah they did
And there were three in the family
And that's a magic numbe
r
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom