Elections 2010 TUCTA yajibu kauli ya JK

View attachment 12785 securedownload.jpg






securedownload2.jpg securedownload1.jpg

Haloo Bw. Mgaya, T-shirt zenu zimekuwa nyingi sasa, msivae ile ile moja ya toka wakati uleeeee??
 
Kama haya maneno yamechapwa vyema Mkuu alisema hivi kuhusu plasta:

"Sasa hata hatujazungumza wameanza kutangaza mgomo, sasa afadhali tuzungumze kwanza maana mgomo una kasheshe zake, mkigoma hamtaachwa, askari watawapiga virungu na hata wengine kuweza kupoteza maisha, mimi naweza kuwa rahim lakini polisi mkiwafanyia fujo watawatwanga na hata mkigoma baadaye mtarudi kwenye mazungumzo mkiwa na plasta midomoni[/COLOR]"

Nimekuwa najiuliza alimaanisha wakirudi watakuwa wamenyamazishwa au?




What a statement! Nasikia kulia.:shocked::shocked::shocked:
 
Back
Top Bottom