Tuchangie hoja ktk kupata katiba mpya

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,460
Hay waungwana naomba tuchangie masuala yanayohusu katiba yetu mpya kwani naona wabunge wanataka kutunyima
nafasi zetu kama wananchi wa nchi yetu hivyo hatuna budi kujikomboa kwa suala hili. nipeni hoja zenu ili tuzipaishe humu ndani.
 
Back
Top Bottom