Tuanze upyaaaa

laun

Senior Member
Sep 5, 2011
111
26
Tuanze upya kwani tulikojikwaa hapajulikani. Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kulipa malimbikizo ya madeni ,miradi imesimama,ma-dr wamegoma,umeme umepanda,walimu hawajalipwa,huduma za afya matatizo hakuna aliyeona hayo yote. Kipaumbele kimekuwa kuongeza posho zao. Wale wa cdm tuliowategemea kututetea kwenye hili hawajaonyesha dhamira safi kabisa. Magamba ni kama somali pirates . Eeh Mungu tusamehe tulipokosea,kwa mapenzi yako waue wenye dhamira mbaya katika mjengo ili tuanze upya ukombozi wa wagonjwa ,maskni...a
 
Back
Top Bottom