Tuanze na hili rahisi

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Rais ana bifu na Waziri mkuu wake na anataka kumtimua kazi.Ili kujitoa lawamani,anamwambia Waziri mkuu;nimekuandalia barua hizi mbili;moja imeandikwa ndani'YOU WILL STAY' na nyingine imeandikwa 'YOU ARE FIRED'.Hatma yako ya uongozi itatokana na bahati nasibu katika kuchagua mojawapo ya barua hizi mbili.Kabla ya kwenda kuchagua barua mojawapo,spy mmoja anamvuta waziri mkuu kando anamwambia kwamba Rais ana bifu na wewe hivyo zile barua zote mbili zimeandikwa 'YOU ARE FIRED'.Swali;kama wewe ndo WAZIRI MKUU utafanyaje ili usipoteze kazi yako?HINT;ni lazima uchague barua moja kati ya mbili ulizotengewa.
 
ningemshushua rais ningeandika barua ya ku resign hapohapo kabla hata ya kuchagua bahasha.
 
Chukua barua moja,bila kuifungua,itupie mdomoni na kuitafuna halafu mwambie akufungulie ile barua nyingine akuoneshe imeandikwaje.Ujumbe atakaokuonesha inabidi uende kinyume na ule ulioutafuna.
 
dah! hapo utakuwa umemuweza kabisa
 
aokote barua moja na kumuambia smiling president afungue bahasha iliyobaki mezani assuming matokeo ni opposite yake. so kama iliyobaki mezani inasema 'U AR FIRED' inamaanisha aliyookota itasema 'U STAY' na hakuna haja ya kuifungua!
 
Rais ana bifu na Waziri mkuu wake na anataka kumtimua kazi.Ili kujitoa lawamani,anamwambia Waziri mkuu;nimekuandalia barua hizi mbili;moja imeandikwa ndani'YOU WILL STAY' na nyingine imeandikwa 'YOU ARE FIRED'.Hatma yako ya uongozi itatokana na bahati nasibu katika kuchagua mojawapo ya barua hizi mbili.Kabla ya kwenda kuchagua barua mojawapo,spy mmoja anamvuta waziri mkuu kando anamwambia kwamba Rais ana bifu na wewe hivyo zile barua zote mbili zimeandikwa 'YOU ARE FIRED'.Swali;kama wewe ndo WAZIRI MKUU utafanyaje ili usipoteze kazi yako?HINT;ni lazima uchague barua moja kati ya mbili ulizotengewa.

kwani alizaliwa kuwa waziri? kama hawaelewani kwa nini kuendelea kukumbatiana? kama ningekuw mimi, nisingesubiri barua hizo, ningejiuzulu nipate nafasi ya kujipanga kufanya kazi nyingine zaidi nitakayoiona inafaa
 
Back
Top Bottom