Tuanzapo Mahusiano mapya...........

Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!
By "sisi wanaume" unamaanisha kila mwanaume aka wanaume wote?

Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!

Kwa hiyo hiyo ukitaka mwanamke akolee ni bora kufanya nae "outing za kila jioni"?
 
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!

Usidanganyike, kuridhika kwa mtu katika mapenzi kunatoka ndani ya mtu mwenyewe na si matendo ya mpenzi wake! Matendo ya mpenzi wake yanaweza kusaidia, ila si kila kitu. Wapo wanaofanyiwa kila kitu; lakini hatimaye hujikuta wametumbukia katika mapenzi ya wanaume/wanawake wengine wakati yule wa kwake hana tatizo na wala hajafanya chochote kibaya.

Huo ndo utata wa kwenye mapenzi. Kumjali sana mkeo, kwa shida na raha, kumtoa outings za mara kwa mara, kuwasiliana naye frequently na kuhakikisha kuwa unampa kile anachotamani sio muarobaini wa kumfanya mkeo aridhike na wewe. Nakubali hayo yanasaidia, ila si mwisho. Mwisho ni kuwa lazima yeye mwenyewe awe amekubali kuridhika, vinginevyo mhhhh, anaweza kuchepuka nje sababu kamtamani tu yule mwingine si sababu eti wewe humpi anachokipata.

Ni kwamba binadam si rahisi kuridhika; akipata kile anachokitamani leo, anakizoea na matamanio yake hubadirika. Kwa hiyo mambo ya kuridhika ni suala la ndani ya mtu, si nje yake. Kwa vitu vya nje, we hangaika tu, lakini hiyo si guarantee ya kuwa utamridhisha. Kwa wale wanaume ambao wameshaishi na wanawake kwa miaka kadhaa nadhani wanaelewa (mada ni wanaume).
 
you have hit the nail dude..; this is what i call 'being real'
 
Naunga mkono Kipima Pembe hapo juu. Hakuna binadamu anayeridhika. Unaweza ukafanya kila kitu ambacho mwanamke anataka umfanyie na bado asiridhike. Kwanza kabisa, mapenzi ni two ways, sio one way. Pili, sio wanawake wote ni sawa. Kwa maana hiyo hawatahitaji the same things.

Wako wanaopenda kwenda outing kila jioni. Lakini pia wapo wanaopenda kuangalia movies badala ya kwenda outing kila jioni. Wengine jioni hiyo ndio wakati wa kuangalia Egoli wanazopenda au kutembelea marafiki na jamaa zake. Kwenda outing kila jioni nako kunaboa sometimes. Na mwanaume mwenyewe kweli atakuwa hana mengine ya kufanya zaidi ya kumtoa mwanamke wake outing kila siku jioni? So, nadhani flexibility ni muhimu hapa.

Wote tunajua kuwa women love men. Wanataka attention na mapenzi kwa mwanaume wanayempenda zaidi ya vingine vyote hapa duniani. Hiyo ni habari nzuri na alivyosema mleta mada yanaweza kusaidia katika kuwapa attention na mapenzi wanayotaka japokuwa may not be enough.

Lakini mbaya ni kwamba attention na mapenzi wanayototaka wanawake ni very specific. Kama hutawapa attention na mapenzi ya kutosha watatafuta kwingine. Hapo hapo ukiwaonyesha too much attention na mapenzi wanapoteza interest kwako right after they get grossed out.

Kwa hiyo, ku-balance ndiko kunakowafanya waji-feel taken care of na kuwa huru (independent) kwa muda wote wa mahusiano. This is what will make you as man irresistible to her. Give women their independence on what they want to do and when na sio kuwatoa outing kila siku jioni.

Sidhani kama mwanamke huwa anampenda zaidi mwanaume pale ambapo mwanaume anapojaribu ku-win over her. Ubaya au uzuri ni kwamba wanawake wanajua pale mwanaume anapojaribu ku-win over her. In fact hii inaweza kuwa ni manipulation.
 
umeongea point lakini umekwenda nje ya mada
muanzisha mada kazungumzia 'mahusiano mapya'
na sio kuridhishana wala kuwa kuhusu mkichokana inakuwaje

hapa inazungumziwa hisia potofu wakati mahusiano bado maapya kabisa
 
Mkikubali mkikataa, mkikubali mkikataa ni hali halisii song hilo kwa walengwa
 
Hii nadharia uliyoweka hapa nikwamba wapo watu wa ainahiyo lakini hawawezi kubeba ujumla wa wanawake wote kama ulimuona huyo hayo ndiyo yalikuwa mapungufu yake nazaidi inategemea kuanza kwake mapenzi for the first time alikutana na mapenzi ya aina gani!!kwa mantiki hiyo mwanamke anaweza kubadili tabia kutokana na mwanzo wa mapenzi yake aliyoyapata hapo mwanzo lakini nawewe kienda seriously kwake ukashow love ambayo content yake imejaa ukweli atabadili tabia tu!!
 
Kitu kingine cha nyongeza tu naongezea zaidi kwenye thread ya ndugu yangu kakakiza time unaanzana naye tu msichana wanaume wengi wakishapata mademu wakali basi wanakuwa na pressure sana na kila wakati baby baby naa mwanamke ukishamuonyesha hivyo baasi utabuluzwa vibaya sana, kama alivyosema mwanzisha thread ni sawa kabisa kufanya hivyo vyote ila neno baby sijui mpenzi kwa siku ita mara moja zaidi ya hapo ukionyesha umezimika zaidi kwa mwanamke utajuta kupenda......
 
Wonderfull kakakiiza,your exceptional!wanaume wote wangelijua hilo mbona tungenenepa?
Mwanamke umleavyo ndivyo akuavyo..the problem wanaume wengi hawaamin kwenye mapenzi ya kweli na yenye u2livu wanachukulia isue ya kua na mpenzi zaid ya mmoja ni prestige!la hasha you can have a single woman na ukamtreat vizuri 2 the extent hatamani kupendwa na mwingine zaid yako..

Nakubaliana na wewe na wala sikatai kabisa, mwanamke siku zote ni weak sana tena sana sisi wanaume ndio wa kuamua kila kitu wenyewe ni kusikiliza tu basi, mwanaamke ukimlea vizuri na ukamtuliza basi utafurahi sana na hata kuwa na ujanja wa kufanya upuuzi atakuwa na woga sana endapo naa mwanaume ataonyesha msimamo zaidi
 
umeongea point lakini umekwenda nje ya mada
muanzisha mada kazungumzia 'mahusiano mapya'
na sio kuridhishana wala kuwa kuhusu mkichokana inakuwaje

hapa inazungumziwa hisia potofu wakati mahusiano bado maapya kabisa

Same applies. Sioni umuhimu kwa ku-create higher expectations wakati mnaanza mahusiano halafu baadae unazishusha.

Hii nadharia uliyoweka hapa nikwamba wapo watu wa ainahiyo lakini hawawezi kubeba ujumla wa wanawake wote kama ulimuona huyo hayo ndiyo yalikuwa mapungufu yake nazaidi inategemea kuanza kwake mapenzi for the first time alikutana na mapenzi ya aina gani!!kwa mantiki hiyo mwanamke anaweza kubadili tabia kutokana na mwanzo wa mapenzi yake aliyoyapata hapo mwanzo lakini nawewe kienda seriously kwake ukashow love ambayo content yake imejaa ukweli atabadili tabia tu!!

Kwa hiyo wakati unaanza nae mahusiano unamtoa out kila siku jioni lakini mahusiano yakitengemaa unaacha? Au utakuwa unaendelea kutoa outing kila siku jioni for the rest of your relationship?
 
Katika vitu ambavyo sisi wanaume huwa tunakosea ni kati ya hivi.....
Sisi wanaume tukiwa na mwanamke amabaye ni mpya katika mahusiano u
wa tunaamini kuwa huyu mwanamke hayuko pekeeyake lazima kuna mwingine hivyo natakiwa kuwa mguu ndani mguu nje!!Lakini kumbe masikini yawezekana ukawa wewe ndo mwenye bahati ukakuta dada hana mtu au mahusiano yake ya hawali yaliharibika kutokana na tabia kama zako wewe uliyemtongoza na yeye hataki chovyachoya anahitaji wakwake wakujidai naye kila mahala!

Pili Sisi huwa hatujui kama sisi ndo wakuwafanya wanawake waridhike wawe nasisi naasiwe na hamu ya mtu mwingine mpaka kufikia kutomtamani mwanamme mwingine na mwanaume mwingine akimtongoza aonekama kero fulani!! mwanamke ukimwonyesha kumjali kuwanaye karibu mawasiliano yakila mara na outing zakila jioni basi jua mwanamke hata kama alikuwa na boyfriend atamwacha kiaina nakukuta mapenzi yote kayahamishia kwako lakini hili wengi wetu tumekuwa hatulijui!!, wanaume tulio wengi tumekuwa tukijikita sana katika mapenzi ya hela/pesa,kukata pochi,kama ndiyo dawa yakumsogeza karibu mwanamke!!wakati unampa pesa yeye anaenda kumpa mapenzi yakweli mwanamume mwingine??wapi faida?Jiulize yule anakuzidi nini mpaka ushindwe wewe?/Mapenzi nikujaliana mapenzi siyo pesa!!Japo wengi wanawake wanathamini mkwanja kuliko pesa lakini bado unayo nafasi yakumbadrisha kutoka kwenye pesa akaja kwenye mapenzi ya kweli!!

Maelezo ni mazuri sana ila si kwa kizazi cha sasa, wanawake walio wengi siku ni kama kunguru utamfuga ndani we siku ukimwachia tu anapotelea mbali, asikudanganye mtu maji hayaachi asili yake hata ukiyachemsha yakawa ya moto lazima yatapoa, you cant go against nature, kwa taarifa mwanamke siku zote hapendi anayependa asilimia kubwa ni mwanaume, kumbuka wewe ndio unayemfuata na kumwambia unampenda na sio yeye anayekuja kwako, tena uzoefu unaonyesha wanawake wengi wanao cheat ni wale ambao wamekuwa exposed kwenye mazingira ambayo uashauri, tamthiliya zinaharibu jamani tusichukue kila kitu, tena ushahidi wa ndoa za wazee wetu zinadumu miaka nenda rudi bila hata ya hizo theories na principles ulizoweka.
 
Tatizo letu wanaume wengi wetu hatu stick kwa mpenzi moja, na hili nitatizo kwani tunajikuta tunakosa msimamo na hata chali wako anashindwa kukuelewa, kama kila mwanaume angekuwa na mpenzi moja tungeona penzi linastawi kikamilifu lakini sasa hali haiko ivyo, kukosa muda wa ku-spend na mpenzi kunatoa mwanya wa kukosa imani, kwakuwa ni tabia zetu kutoka na mtu zaidi ya moja ndo maana hata unapompata binti dhana inayokujia kichwani ni kwamba huyu naye ni kicheche tu, tunajifelisha mapema kabisa kumbe usikute ni bahati ya mtende.
 
Back
Top Bottom