Tuandike taarifa za kweli,tuachane na ujinga wa 1 april

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
187
117
Wana jamii forum, watanzania sasa wana shauku ya kujua kile kinachoendelea kwenye chaguzi za leo..
Tukikaa muda wote tuna andika taarifa za uongo,hatuwatendei haki..
Kama ujinga waachieni magamba pekee..
 
sikukuu yenyewe ndiyo imeishia hivyo saa 6.00 mchana
 
Back
Top Bottom