Tuandike matangazo kwa makini

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,206
42,068
Nimeamua kusema haya baada ya kushangazwa na matangazo yanayo tolewa na wana jf hasa matangazo ya nafasi za kazi. Napenda kuwashukuru wana jf kwa kuwa na moyo wa kusaidiana lakini naomba tuangalie jinsi tunavyo saidiana hasa kwa swala la kazi,kama tujuavyo watanzania zaidi ya 80% tunatafuta kazi kila mwaka hasa vijana ,hivyo tunategemea matangazo yakazi yanayo wekwa humu yawe yamekamilika, nimeona matangazo mengi ya kazi mazuri lakini hayaoneshi ni wapi upeleke maombi yako,hayana box la kutuma maombi au email adress yakutuma maombi! Tumaini langu atufanyi utani tunapo weka matangazo kwasababu utakapo toa tangazo ambalo halijakamilaka ,halita tusaidia .wengine wanasema sources ni siri kama ni siri basi lisiwekwe.tusichoke kusaidiana ,amani kwa wote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom