Tuambie [Message,Msemo,Status,...] huwa inakuchekesha sana..!!

Agustino Regnald

JF-Expert Member
Aug 15, 2016
501
428
Hakika hakuna kitu kizuri cha kwanza kama mwanadamu ni muhimu [badala ya kula] kama kucheka, hakuna asiyependa kucheka,hebu tuambiane kitu cha aina yeyote ambacho ukikisikia always kinakufanya ucheke....!!!

14485129_1142979915789166_3177062228582015668_n.jpg

[tupunguze stress kidogo]
 
siku hizi wanaume wamehamishia tabia za wanawake kwenye makalio,kiasi tukipishana nao lazima ugeuke ili kuangalia kama ana tabia nzuri...
 
mi huwa najishangaa na kujicheka mwenyewe, kila siku usiku kabla ya kulala huwa nafunga mlango na kuthibitisha mwenyewe,halafu nikifika kitandani hisia zinakuja kuwa labda sijafunga mlango,narudi tena kufunga mlango.
 
Unanijua mimi? Je unanifaham mimi? Haya basi subiri Leo utaona na utajua kwa nini "ndukum" unakata "vima" bila kutumia vitu vyenye ncha kali kama kisu.

Jamaa flan Chugga 2007
 
mi huwa najishangaa na kujicheka mwenyewe, kila siku usiku kabla ya kulala huwa nafunga mlango na kuthibitisha mwenyewe,halafu nikifika kitandani hisia zinakuja kuwa labda sijafunga mlango,narudi tena kufunga mlango.
Mkuu hio inaweza kuwa OCD(obsessive compulsive disorder)
 
mi huwa najishangaa na kujicheka mwenyewe, kila siku usiku kabla ya kulala huwa nafunga mlango na kuthibitisha mwenyewe,halafu nikifika kitandani hisia zinakuja kuwa labda sijafunga mlango,narudi tena kufunga mlango.
Ahaaaa, mi pia hufanya ivyo
 
*Effect of WhatsApp on English Language*

_*Mike & Dora on WhatsApp:*_

*Mike :* Hi dear.
*Dora :*
*Mike :* How are you .??
*Dora :*
*Mike :* Missing me..?
*Dora :*
*Mike :* I'm not feeling well...
*Dora :*
*Mike :* How was your day..?
*Dora :*
*Mike :* Are you busy.??
*Dora :*
*Mike :* Why ?? What are you doing ??
*Dora:*
*Mike :* Is there anyone near you..?
*Dora :*
*Mike :* Why don't you reply in words? Why are you using smiley faces?
*Dora :*-
*Mike :* I heard you failed in English?
*Dora:* Who telled you ? It is unpossible.. I went to saw the resalt yestathey... I Passed away all my educations
*Mike :* Hmmm lets go back to smileys pls
*Dora:*- ok dear, God blast u.
 
Back
Top Bottom