tuache utani ana sura mbaya akiwa anasema uongo bungeni tena kwa hasira

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
540297_310998808969964_100001795432398_718385_1786791262_n.jpg
 
Ndugu,

Hii sio sura mbaya, hii ni sura ya wanaume wapiganaji iwe msituni, sebuleni au chumbani. Mimi nina wasiwasi na utendaji kazi wake na si sura
 
Ndugu,

Hii sio sura mbaya, hii ni sura ya wanaume wapiganaji iwe msituni, sebuleni au chumbani. Mimi nina wasiwasi na utendaji kazi wake na si sura

sasa wewe chumbani unamkasirikia nani na kwanini unakasirika?
Nyamm! nyamm! nyamm!
 
sasa wewe chumbani unamkasirikia nani na kwanini unakasirika?
Nyamm! nyamm! nyamm!

Ndugu,

Ukiwa mpiganaji wakati na muda wowote waweza kupigana. Naongelea kupigana (upiganani), hapa hakuna kuchagua sehemu kwasababu askali hodari hachagui pori. Narudia mimi nina wasiwasi na sababu za upiganaji na sio upiganaji wa Mh. mwenye sura ya upiganaji
 
Tunachoongelea na kuangalia ni utendaji wa kazi sio sura , weye wamtaka sura ili nini? NA pia pale sio mahala pa maonyesho vinginevyo labda weye una madhaifu mengine ambayo sisi hayatuhusu na si mahala pake hapa
 
huwa namshangaa yaani anaogea kwa ukali utafikiri anagombana.au ndivyo alivyoumbwa jamani
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom