Tuache ushabiki katika hili jamani,

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Hivi umkute mmeo/mkeo anaigiza kwa jinsi hii, utachukua hatua gani?
leo-4.jpg
 
Haina mjadala, hapo amevuka mipaka, nani bora asiwe na kazi akae nyumbani, sitamshindwa!
This is too much for the eyes only!...it ushers some next organs to take part!...sasa sijui ni viungo gani vitakuwa employed!:angry:
 
ntaangalia kama kuna mshiko wa maana ntamchunia ntakacha pembeni kidogo ili nisije kuuwa kabisa..............c unajua cc wachagga.....
watu wanapoigiza huwa wanaweka hisia zao za kweli pembeni kwa hiyo sitokuwa na hofu kabisa....
 
Umasikini mbaya sana jamani..
Huyu mwigizaji mgeni wa fani anajitahidi kufanya kila awezalo ili asimwagwe next scene!
Kukosa professionalism ni kubaya kama ukoma...unaishi unategemea huruma, na hatimaye unafanyishwa kitu ambacho katika hali ya kawaida huwezi kuimagine!..
Anyway...tuombe Mungu!
 
Sidhani kama kuna mwanamme amuone mkewe anaigiza katika mazingira hayo avumile

sijui ...vipaja nje ukienda zaidi unaweza kuona na mengineyo:angry:
 
Nafikiri hata mira zetu haziruhusu hali kama hii, sijui BASATA wako wapi siku hizi,
 
Sidhani kama kuna mwanamme amuone mkewe anaigiza katika mazingira hayo avumile

sijui ...vipaja nje ukienda zaidi unaweza kuona na mengineyo:angry:

FL1, hata mimi siwezi kuvumilia mume wangu kuigiza katika mazingira hayo. ni kutiana majaribuni tu.
 
Sidhani kama kuna mwanamme amuone mkewe anaigiza katika mazingira hayo avumile

sijui ...vipaja nje ukienda zaidi unaweza kuona na mengineyo:angry:

Kwa mtazamo wangu naona kama jamaa anaiona kitu laivu hapo. Sisi tunaangalia kutoka kwenye angle ya mpiga picha ila huyo staa wa maigizo anaiona mbumbuli yoote maana hata kufuli hawaweki siku hizi.

Km gf wangu napiga chini.
 
Jamnai mbona picha hiyo haina tatizo lolote kulingana na watu wanavyotakiwa kuigiza, sasa wewe na akili zako unaoa mwigizaji , halafu unapata pressure si una matatizo?





Angelina ana ndoa safi kabisa



Kazi kwenu!!!!!

Personally mke wa kihivyo sina hata muda wa kuwaza kumuoa, pressure sitaki
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom