Tuachane na matumizi ya arv?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wana-JF tafadhali tujadiliane kwa amani. ARV ni dawa za kupunguza makali ya UKIMWI na kuongeza umri wa kuishi kwa mwathirika.Hivyo ndivyo nijuavyo.Watu watumiao ARV hupendeza kimuonekano na 'kiafya'.Siku zinasogea.

Lakini,watu hao husafiri hapa na pale ndani na nje ya Tanzania.Wapo ambao huendelea na kufanya ngono,tena bila kinga,na wengine ambao wameshaathirika au hawajaathirika.Maambukizi mapya yanaongezeka kila siku.Wapo wanaohama toka sehemu moja hadi nyingine ambapo huonekana 'wapya'.Wanaambukiza kirahisi sana.Maambukizi yanaendelea na kuongezeka.

Sasa,tuachane na matumizi ya ARV ili waathrika wajulikane na waepukike kuambukiza wengine?
 
Wana-JF tafadhali tujadiliane kwa amani. ARV ni dawa za kupunguza makali ya UKIMWI na kuongeza umri wa kuishi kwa mwathirika.Hivyo ndivyo nijuavyo.Watu watumiao ARV hupendeza kimuonekano na 'kiafya'.Siku zinasogea.

Lakini,watu hao husafiri hapa na pale ndani na nje ya Tanzania.Wapo ambao huendelea na kufanya ngono,tena bila kinga,na wengine ambao wameshaathirika au hawajaathirika.Maambukizi mapya yanaongezeka kila siku.Wapo wanaohama toka sehemu moja hadi nyingine ambapo huonekana 'wapya'.Wanaambukiza kirahisi sana.Maambukizi yanaendelea na kuongezeka.

Sasa,tuachane na matumizi ya ARV ili waathrika wajulikane na waepukike kuambukiza wengine?[/QUOTE

Tusubiri, we ukiupta tupe jibu,watakufikia tuuu
 
wana-jf tafadhali tujadiliane kwa amani. Arv ni dawa za kupunguza makali ya ukimwi na kuongeza umri wa kuishi kwa mwathirika.hivyo ndivyo nijuavyo.watu watumiao arv hupendeza kimuonekano na 'kiafya'.siku zinasogea.

Lakini,watu hao husafiri hapa na pale ndani na nje ya tanzania.wapo ambao huendelea na kufanya ngono,tena bila kinga,na wengine ambao wameshaathirika au hawajaathirika.maambukizi mapya yanaongezeka kila siku.wapo wanaohama toka sehemu moja hadi nyingine ambapo huonekana 'wapya'.wanaambukiza kirahisi sana.maambukizi yanaendelea na kuongezeka.

Sasa,tuachane na matumizi ya arv ili waathrika wajulikane na waepukike kuambukiza wengine?[/quote

tusubiri, we ukiupta tupe jibu,watakufikia tuuu
 
hao watu wenye ngoma wengine ni very potential mawaziri, marais, wahadhiri ,madaktari na mainjinia sasa bila ARVs magonjwa yatawaandama sana na ni hasara kwa taifa, mi nilikuwa nawaza wangekuwa wanawekwa karantini kama watu wenye TB sugu, yaani iwe lazima kila mtu kupima kisha ukiwanao unapelekwa eneo husika baada ya miaka kumi na tano no ngoma. sio uvunjifu wa haki za binadamu maana kama unangoma nchi kama marekani huendi
 
jee kama ndugu yako jee utakubali afanyiwe hivyo?maybe kungekuwa na sheria ya wanaoambukiza kwa makusudi washitakiwe kama nchi nyengine wanavyofanya.
 
Wewe as an individual ukitegemea ulie nae ndio akukinge haisaidii kitu. Condom ndio hizo hata watu wakienda nazo eneo la tukio hua kama accessories... Huu ugonjwa kazi ipo, Mungu mwenyewe ndio anajua.
 
duu, mtoa maada kweli huwapendi wenio , waache ARv wafe.... sio fair
 
hiv,, dah very dangerous diseases.. Wasiache kutumia but kuwe na sheria wanao ambukiza washtakiwe...
Everybody needs to fullfill his dreamzz... The truth is knowing that ur infected ni great pigo.. hao watu wana great pain in their heart... Hata iwe vipi concept of being positive haitoki in their heard..

MAY GOD HELP THEM OUT...
 
jee kama ndugu yako jee utakubali afanyiwe hivyo?maybe kungekuwa na sheria ya wanaoambukiza kwa makusudi washitakiwe kama nchi nyengine wanavyofanya.
Tujadili tu ndugu zangu.Nimeleta hoja hii ijadiliwe...sijaonyesha msimamo wangu..
 
Back
Top Bottom