TTCL Unlimited Download

Hellow eti unafanyaje kujiunga na hiyo bronze.....namaanisha unatuma neno gani kwenda namba gani MWAMUNU

2. 512 kbps – NDUKI Silver (60,000/-)
3. 1Mbps – NDUKI Gold (100,000/-)
4. Mbps – NDUKI Diamond (200,000
Kwahiyo mkuu chaguo ni lako ila nilicho experience juu ya hizi categories ni kwamba hazitofautiani sana speed mi natumia bronze lakini mambo safi kabisa kitu unlimited !!
 
Last edited by a moderator:
Hizo unatumia vizuri tu, mimi hua natumia hiyo ya Unlimited 2M kila mwezi na kuna miezi naangusha zaidi ya 200GB na bado inapiga mzigo.. Kuunganisha hapo hadi kwenda TTCL na hiyo nadhani ni kwa wenye line
 
Garama ni kama ifuatavyo
kulipia line 24,500
modemu 55,000 na vijigharama vya fundi wastani ukiwa na 100,000 kila kitui kinakuwa sawa na chenji inabaki !!
 
Cha kuafanya kama huna line basi inakubidi uende ofisi yoyote ya ttcl unalipia line kisha unanunua modemu baada ya hapo utapewa fundi kwa ajili ya kufanya line construction.
Pindi line yako inapokuwa active automatically we unakuwa katika category ya standard.Kwa maelezo zaidi jinsi ya kujiunga na category nyingine utapewa maelekezo katika ofisi ya ttcl.
 
hivi line ya TTCL haiwezi kutumika ktk modem nyingine iliyochakachuliwa ambayo inakubali line nyingine? mf. ya airtel
 
Back
Top Bottom